Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana-JF, Mnamo Agosti mwaka huu, Serikali kupitia Wizara ya Ardhi ilitangaza fursa kubwa kwa wakazi wa Arusha na Watanzania kwa ujumla. Tulitangaziwa uuzaji wa viwanja katika eneo la...
4 Reactions
10 Replies
525 Views
Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania. Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika...
4 Reactions
2 Replies
174 Views
Kwanza nitoe pole Kwa watani na marafiki zangu wachagga. Hawa wenzetu wameuliwa mno, Sehemu za Kumara, Goba, Madale, Tegeta na Tabata wakazi wa maeneo hayo wengi ni wachaga na waliuliwa mno...
15 Reactions
85 Replies
1K Views
Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
2 Reactions
7 Replies
265 Views
Moja kati ya wendawazimu unaofanywa na baadhi ya Watanzania ni kuungana na wageni kwa lengo la kudhalilisha nchi ya Tanzania na kuingiza kwenye machafuko Wendawazimu hao wamepofuka wala hawajui...
-2 Reactions
133 Replies
3K Views
Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2025 kuna Mambo Mengi Sana Tumepitia Mwaka Huu,Kwa upande wangu kilichonifurahisha sana 2025 ni kuona jinsi uelewa wa Watanzania ulivyoongezeka, watu wanazidi...
3 Reactions
2 Replies
178 Views
Naendelea kuamini nchi imeharibika. Tupo hapa SGR Head Office Station. Tukiwa ndani ya lounge ina kiyoyozi lakini tumelowa jasho. Ilikuwa tuondoke saa 12 jioni kuelekea Dodoma mara bin vuu...
19 Reactions
40 Replies
917 Views
Habari Tanzania Nawaomba wenye mamlaka na wale wataalamu wa mambo ya Sheria na watunzi wa sera; na wale wote wapendao maendeleo. Ikiwapendeza; Muunde Shirika la Taifa ambalo litajenga Mfumo...
1 Reactions
2 Replies
157 Views
Kuna wizara ya ovyo sijui wizara ya vijana takataka tu. Ni hapa tanzania tu ndio tunasema riziki ni mungu kumbe sio kweli wakati wenzetu wana mwajuma tena chupi kubwa. Kwa wenzetu kipaji chako...
7 Reactions
14 Replies
296 Views
Wenzetu wa CHADEMA mnakesha mitandaoni daily kumbe mnategemea mle kwa njia ya kutapeli watu maskin kupitia donation za kitapeli hii ni aibu. Halafu nimeshangaa kuona chadema wanajiita baba wa...
1 Reactions
15 Replies
260 Views
Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo...
0 Reactions
3 Replies
263 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara limesema kuwa, jana Desemba 30,2025 lilimfikisha Mahakamani Mathias Fabian John (25) kwa tuhuma za mauaji ya Samli Napone (42) aliyekuwa fundi ujenzi. Jeshi la...
2 Reactions
6 Replies
315 Views
Watu 507 waliopoteza viungo, vikiwemo mikono na miguu wamefaidika na uwepo wa kambi maalum ya kutoa viungo bandia bure iliyoandaliwa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Taasisi...
1 Reactions
3 Replies
159 Views
Kwa juhudi na kumuomba Mungu, nina imani mambo haya nitayatimiza mwaka huu 2026. Jua liwake mvua inyeshe inabid niyatimize kwa namna yoyote... 1: Kuimarika kiroho, Natamani kuwa karibu na Mungu...
4 Reactions
1 Replies
353 Views
Nilipokuwa shule ya sekondari nikisoma historia ya Ulaya, hasa kuhusu ukatili uliotekelezwa chini ya Hitler na Mussolini, nilikuwa nadhani kwamba dunia—hasa Ujerumani—lazima ilikuwa imejaa watu...
2 Reactions
5 Replies
199 Views
Namaanisha hivi! Kwenye wizi lazima Kuna mwizi na aliye ibiwa vilevile kwenye mauaji pia Kuna muuaji Wamekubali Kuna mauaji je muuaji yupo wapi?
1 Reactions
2 Replies
74 Views
Swali kwenu watumishi wa mungu maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji nk! Utafiti unaonyesha pamoja na watumishi mungu wengi wa maaskofu mitume manabii wainjilist walimu wachungaji...
5 Reactions
40 Replies
653 Views
KUTOCHAPISHWA GAZETI LA JAMHURI Jana Jumanne Desemba 30, 2025 kampuni yetu ya Jamhuri Media Limited ilishindwa kuchapisha na kusambaza gazeti letu la uchunguzi la JAMHURI. Tukio hili la...
5 Reactions
12 Replies
434 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa tahadhari kali kwa wananchi dhidi ya vitendo vya kuchoma matairi barabarani pamoja na kupiga baruti au fataki katika maeneo yasiyoidhinishwa...
1 Reactions
2 Replies
180 Views
Back
Top Bottom