Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mikopo ya Ushauri Kila mtaa una wale watu wanaokopesha kila kitu—pesa, nguo, kiwanja, nyumba, gari. Lakini aliibuka mtu mmoja yeye, alikopesha ushauri. Ndiyo. ushauri. Alikuwa anaitwa Mshauri...
2 Reactions
8 Replies
346 Views
Habari wakuu? Kama mjuavyo jukwaa letu si la videos Sana Bali maandishi Sana au kusoma Sana nahicho ndicho kilicho nivutia Sana hapa jf Sasa Basi katika pita pita zangu hapa ndani nilikutana na...
20 Reactions
89 Replies
2K Views
Mkasa wa sanamu ya Buddha iliyogundulika kuwa na mwili wa mtawa aliyefanyiwa mumia unaibua swali kubwa: je, ni imani au ni udanganyifu wa kiakili? Katika historia ya binadamu, dini nyingi...
4 Reactions
20 Replies
417 Views
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Ruqyah?, Ingawa Waislamu wanadai Ruqyah ni njia ya "kukinga na sihirk", ukweli mchungu ni kwamba sehemu kubwa ya sura zinazotumika (kama Surah Al-Falaq, An-Nas...
15 Reactions
129 Replies
6K Views
𝐉𝐄! 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐎 𝐇𝐀𝐘𝐀 𝐍𝐃𝐈𝐘𝐎 𝐌𝐔𝐍𝐆𝐔 𝐀𝐋𝐈𝐌𝐓𝐔𝐌𝐀 𝐌𝐔𝐇𝐀𝐌𝐀𝐃 𝐀𝐉𝐄 𝐀𝐘𝐀𝐅𝐔𝐍𝐃𝐈𝐒𝐇𝐄? Muhamad alifundisha mambo mengi ndani ya Uislamu, lakini asilimia kubwa ya mafundisho yanayohusishwa naye yanahusu masuala ya...
21 Reactions
200 Replies
2K Views
Msidanganyika na hoja za udini Waziri mkuu ni mkristo bilashaka hapo yupo katika kanisa la RC au KKKT kama sijakosea. Na makamu wa rais ni Mkatoliki. Na mkuu wa majeshi na mkuu wa polisi ni...
1 Reactions
1 Replies
133 Views
Habari wadau, kuna beach ambayo iko kuanzia Kawe hadi Jangwani, maeneo hayo ni machafu sana, je Halmashauri husika hazioni ni wakati wafanye usafi? Kama wameshindwa kwanini wasizibinafsishe ili...
2 Reactions
2 Replies
163 Views
Habari za mwaka mpya wan JF natumai wote wazima wa afya Kama kichwa cha habari hapo juu naomba mwenye kibarua cha kuweza kunipatia risk aniunganishe Elimu yangu : Diploma in medical laboratory...
3 Reactions
3 Replies
179 Views
Hii SGR iliyopo kwenye mipango ya kujengwa ni tishio kubwa sana kwa Kenya. Itagusa moja kwa moja maslahi yake, si kiuchumi tu bali pia kwenye ushawishi na udhibiti wa biashara Afrika Mashariki...
1 Reactions
35 Replies
571 Views
Kwanini watu wengi huikimbia Africa wanapopata fursa hata ndogo tu. Anthony Joshua ni bondia maarufu duniani na Tajiri wa mamilioni ya dollar na hivi karibuni ameingiza karibu dollar millioni...
22 Reactions
30 Replies
730 Views
Anonymous (ce9a)
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba...
1 Reactions
12 Replies
272 Views
Hadithi ya Mtakatifu Francis Xavier na Kaa Mnamo mwaka 1546, Mtakatifu Francis Xavier alikuwa akisafiri kwa njia ya bahari kuelekea Malacca (katika Malaysia ya leo). Safari iliyoanza kwa utulivu...
3 Reactions
22 Replies
437 Views
Kanisa katoliki limeundwa kwenye misingi ya Haki, Utii, ukweli na kutetea uhai wa binadamu, wanyama na mazingira. Kutokana na misimamo yake Kanisa katoliki limejikuta likiwa na maadui wengi waovu...
7 Reactions
7 Replies
255 Views
Mambo vipi wana JF.... Wadau, hivi karibuni Msigwa na wenzake wanalalamika kuwa wanaotukana serikali mitandaoni ni "maroboti" waliotumwa na wapinzani ili kuchafua picha. Lakini ukiangalia vizuri...
1 Reactions
6 Replies
383 Views
  • Poll Poll
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad...
1 Reactions
4 Replies
216 Views
Na kumbuka maneno ya jobu ndungai leo jina lake lipo kwenye pombe kali za plastic mitaani. Kwa sasa Kinachofata watupe risiti sehemu zote walizouza kwa kisingizio cha Amani. Maana hakuna...
3 Reactions
4 Replies
153 Views
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa ajali ya magari mawili kugongana na kuwaka moto na kusababisha vifo na majeruhi. Tukio hilo limetokea December 31, 2025 jioni huko eneo la kijiji cha...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Anonymous
Wakuu, naomba nitoe kilio cha wananchi kuhusu hali ya barabara ya kuanzia Chelesi hadi Kisiwani (Kibedange). Barabara hii imeharibika sana kwa sasa kiasi kwamba magari na bajaji yanapita kwa...
2 Reactions
2 Replies
196 Views
Kuna Video nimeona inasambaa ikionesha maandamano Nchini Irani kwa siku nne mfululizo je ndio anguko la taifa la Kiislam la Irani Video hii hapa chini
2 Reactions
24 Replies
587 Views
Ewe Bwana Mungu, Baba Mtakatifu, Mwenye Nguvu Zote na Mwenye Huruma, ambaye umeuumba vitu vyote, unaojua vitu vyote na unaweza kufanya vitu vyote, ambaye hakuna kilichofichwa kwako, ambaye hakuna...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Back
Top Bottom