Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanaume ni tofauti sana yani kama kuna maamuzi yako,jambo lako tambua hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukubeba wala kukupa mwongozo. Ila kwa mwanamke yani anapewa muongozo na maamuzi anakupa...
2 Reactions
10 Replies
351 Views
Kama heading inavyojieleza nashindwa kuingia huko TikTok hata nikiwasha VPN.. inaandika no connection Lakini kwa VPN napata majukwaa yaliyokwisha pigwa ban kama JF na Xtwtitter. Swali langu...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
01.Ufundi Bomba 02.umeme wa magari 04.udereva 05.Fokolift 06.welding Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Kila ifikapo tarehe 31 Desemba, sherehe za Mwaka Mpya hufanyika sehemu mbalimbali duniani usiku kwa nyakati tofauti, kutokana na tofauti za saa kati ya nchi na nchi. Baadhi ya tamaduni pia...
1 Reactions
0 Replies
196 Views
Ila huyu mtu jamani sijui anaona maisha ni kifutio au penseli,yani unaweza kufanya lolote kama ufahamu lolote. Ulipopata kijiti hakuna kilichofanyika umebagaza...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Trump ni mbaguzi,wametuwekea vikwazo vya kudhalilisha. Madhali kiusalama wa nchi hatuwezi kulipa kama wao ila tutumie uswahili wetu na fitna zetu kuwazuia Baadhi ya watalii wanaokuka kiholela...
2 Reactions
9 Replies
226 Views
Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa...
5 Reactions
11 Replies
323 Views
Nashukuru Mungu wa Mbinguni, kwa kutufanikisha kufika mwaka huu wa 2026. Ahsante. Waheshimiwa kitu kinapokuwa adimu ndipo kinapokuwa na thamani na pia kinaondoa migogoro kwa kuwa ni adimu...
2 Reactions
0 Replies
131 Views
Chunguzeni kuna mic ambazo ufahamu ni kituo gani wala chanzo chake. Na mic hizo utaziona zikiwa kwa wanao iongelea serikali hii ya kishenzi.
3 Reactions
3 Replies
158 Views
Husika na kichwa cha habari....hii ni kwa imani na matokeo ya tafiti endelevu yanayoendelea...msaada wa kesi ..msaada wa matibabu...msaada wa masuala ya kija mii n.k. Msaada wa uwazi bila kuonana...
5 Reactions
11 Replies
242 Views
Salaam za Mwaka Mpya toka Taasisi ya Mifupa - MOI
10 Reactions
13 Replies
273 Views
Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki. Sasa kwa utawala...
5 Reactions
3 Replies
182 Views
Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa . Hii yote ni...
1 Reactions
4 Replies
171 Views
Haijalishi una utajiri kiasi gani binafsi kama Mnigeria, sote kwa pamoja ni maskini. Maskini sana. Hili unalielewa tu wakati wa dharura. Moto unazuka lakini hakuna huduma ya zimamoto. Ajali...
17 Reactions
101 Replies
4K Views
Anzia kusoma Quran 7 : 155 - 157 Ila nakuwekea mstari mmoja ambao ndio una hoja yangu. Quran inasema kuwa Mussa alimtabiria Mohamed kuwa ataandikwa katika Torati na Injili. Je Mussa alijua...
3 Reactions
226 Replies
2K Views
Hizi semi zimekuwa kero mara dufu. Kulikuwa na trafiki mmoja pale Mbezi Mwisho anazuia haya malori hadi saa 3 au saa 4 ndio anayaachia sasa sijui wamemtoa. Sasa hivi vyuma havitembei. Hapa kuna...
6 Reactions
27 Replies
745 Views
Usiwaone wana kifua kipana wamejazia full minyama. Hawa jama nje na kunyanyua vyuma ni wavivu vibaya mno. Mkute gym ananyanyua vyuma hadi kg200-300kg 🏋️‍♀️ lakini huyohuyo mpeleke kazi za...
16 Reactions
49 Replies
1K Views
Kwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group. Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye...
13 Reactions
22 Replies
572 Views
Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere...
1 Reactions
17 Replies
447 Views
Kwa upande wangu nipo bar nakula bia baridi wakati nasubiri kitimoto kavu na ndizi za kutosha! Bila kusahau nawaangalia wahudumu wenye makalio makubwa kama mlima kilimanjaro huku speaker...
9 Reactions
60 Replies
595 Views
Back
Top Bottom