Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais kwa utu ameunda tume ya uchuguzi juu ya vurugu za oktoba 29. Watu walipoteza maisha ila mpaka sasa ilianzia idadi ya 1000 ikaja 2000 - kwa sasa 10,000. Je, lengo la kupandisha data hizi ni...
-1 Reactions
12 Replies
261 Views
Nikiwa napitia kitabu chenye jina la kiongozi, ambacho kinajulikana kihistoria kama The Prince, kilichoandikwa na Niccolò Machiavelli mnamo karne ya 16, nilikutana na hoja zilizofanya nianze...
0 Reactions
9 Replies
329 Views
Askofu wa Jimbo Katoliki Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, ameonya kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki hawagawanyiki, akieleza kuwa katika siku za karibuni kumejitokeza jitihada za baadhi ya watu...
3 Reactions
6 Replies
293 Views
Namkubali Sana huyu mzee kwa Kuwait mkweli na mwenye msimamo usio yumba na sio mnafiki Tunakumbushana tu kuwa ndio waziri mkuu aliyehudumu kipindi kirefu kuliko wote katika historia ya taifa letu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la kuvuruga amani ya nchi Kuvuruga uchaguzi Kuharibu biashara za watu Kuharibu miundombinu ya serikali...
0 Reactions
9 Replies
208 Views
X ni mtandao wa ngono, dunia inatambua ukweli huu ndiyo sababu inapozungumziwa yanatumika maneno ya kuficha aibu "Formally known as Twitter" "Iliyokuwa ikijulikana kama Twitter" Inakuwa vigumu...
4 Reactions
71 Replies
1K Views
Sera iliyotangazwa na serikali ya Marekani ya kupanua vizuizi vya kuingia nchini humo hadi nchi 40 kwa kisingizio cha "usalama wa taifa" imeanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe mosi, Januari ya...
0 Reactions
4 Replies
341 Views
Kwa hesabu zetu huu ni mwanzo wa mwaka Kwa mujibu wa kalenda tunayoitumia, zipo kalenda nyingi lakini hii ndio iliyomakinika na kuwa na nguvu hivyo yote yatakayofanyika na kutokea Kwa mwaka huu...
49 Reactions
161 Replies
21K Views
Oya eeh jana mambo km vile hayakuenda vizuri. Nlikua nasafisha rungu kwa izi dada poa asee si nkashtuka ndomu imetoka na kubaki ndani ya k bila mi kujua, bizee naendelea na kazi. Sasa nina...
6 Reactions
70 Replies
7K Views
'Kuna Mwalimu wa shule ya sekondari nilimpeleka mwanangu kidato cha kwanza siku chache baadae mwanangu akarudi na fomu ya veta nilipomuuliza mwalimu akasema mwanangu inatakiwa aende veta sababu...
3 Reactions
7 Replies
343 Views
Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na...
1 Reactions
5 Replies
267 Views
Salaam, Shalom! Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula. Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano, Sasa tusilalamike tena kusema wazungu...
35 Reactions
185 Replies
9K Views
Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29 Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo...
13 Reactions
68 Replies
2K Views
Binafsi nafikiri kuna changamoto watu hawajaziangalia vizuri kabla ya kufikiri kuwa wachina ni tatizo nalo ni ukosefu wa Elimu, Elimu, Elimu ya Biashara 1. Wafanyabiashara wa Tanzania walio wengi...
4 Reactions
8 Replies
285 Views
Maisha yanahitaji maamuzi kila siku. Baadhi ni madogo, kama nini ule au nani umpige simu. Mengine ni makubwa—kazi, biashara, mahusiano, marafiki, au hata namna unavyojiona mwenyewe. Tatizo...
8 Reactions
22 Replies
774 Views
HABARINI WAKUU HIVI LEO NI SIKUKUU YA NINI ?
6 Reactions
21 Replies
423 Views
  • Poll Poll
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
13 Reactions
28 Replies
571 Views
Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM. Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda...
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Back
Top Bottom