Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la polisi limesema linafanya uchunguzi kifo cha Viollete Uwumuhoza, raia wa Rwanda, aliyefariki tarehe 7 Januari, 2026 ikielezwa kuwa ni baada ya kujinyonga akiwa mahabusu katika kituo cha...
0 Reactions
15 Replies
493 Views
Iko hivi: kwenye Biblia kuna viashiria kadhaa vya kuaminika vinavyoweza kutupatia mwaka na mwezi Yesu aliozaliwa. Pia, vipo viashiria kutoka kwenye Biblia vinavyotuwezesha kujua mwaka Yesu...
6 Reactions
20 Replies
5K Views
Katika Dunia hii, mara tu unapojitambua, kuna mambo ambayo mtu yanaweza kukukuta ni vigumu kuamini macho yako kama binadamu mwenzako anaweza kukutendea Kuna wakati, kwa sababu ya mambo magumu na...
2 Reactions
17 Replies
372 Views
Hii kauli ameitoa mama mmoja kwa uchungu.......tupo maelfu wa wazazi tunaugua mioyoni pasipo kutamka. ENYI WAHUSIKA MLIOTENDA HAYO... HAKUNA NAMNA MTAKWEPA HII LAANA.
4 Reactions
11 Replies
223 Views
Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote...
2 Reactions
1 Replies
237 Views
Tofauti ya dini ya Kiislamu na Kikristo katika Sheria ya Ndoa kifungu cha Talaka Sheria ya Kiislamu inasema Talaka itolewe wakati wowote baada ya wanandoa kushindwana Sheria ya Kikristo inasema...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu niajee, Umasikini hauvumiliki, umasikini ni mateso, umasikini ni adhabu mbaya na ngumu kwenye huu ulimwengu. Kuna raia hawana malazi,chakula,mavazi... nk. Kuna raia wanaishi kwenye...
27 Reactions
209 Replies
6K Views
ideo ni sauti ya Padre Dominic Mavula C.PP.S akisoma taarifa ya uteuzi wa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha, Mhashamu Prosper Baltazar Lyimo kuwa - Askofu mpya wa kwanza Mwanzilishi wa...
2 Reactions
4 Replies
313 Views
Kwa anayoyapitia Fella binafsi nimefurahi sana. Natamani yamkumbe zaidi ya hapo mpaka akili imkae sawa. Jamaa kalia weeee kaona isiwe kesi mkewe kaja kutoa povu eti kwa nini aliwasaidia...
19 Reactions
37 Replies
1K Views
Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo. Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda. Hata hawa mashetani wanaoibuka...
5 Reactions
9 Replies
282 Views
Nitangulize kwa kusema kuna baadhi ya mambo ayafanyayo huyu kiumbe anayeitwa Paulo Makonda ana mikono michafu a.k.a Bashite nakubaliana nayo. Baadhi ni vita dhidi ya mihadarati na kusaidia vijana...
7 Reactions
109 Replies
12K Views
Zaidi ya watu 602 waliopoteza miguu au mikono kutokana na sababu mbalimbali wamerejeshewa tabasamu baada ya kupatiwa viungo bandia bure katika kambi maalum ya utoaji wa huduma hizo iliyoandaliwa...
7 Reactions
8 Replies
185 Views
Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam muda mfupi uliopita (leo, Jumatano Januari 07.2026) raia wa China waliokamatwa Oysterbay jana (Jumanne) wakiwa na 'mabilioni' ya fedha...
3 Reactions
15 Replies
542 Views
Kweli dunia hadaa Jamaa walikomaa miaka Ile wakiwa vitani wakawa wanauza kwa laki mbili tani 30 makaa ya mawe. Kule mahala wao walikua tani 30 wanauza kwa elfu thelathini au ambaye anapajua kule...
2 Reactions
3 Replies
372 Views
Ni kuuliza tu si kwa ubaya. Serikali kama imamu na sisi wananchi kama mamuma tuna wajibu wa kuifuatisha katika jambo lolote linaloona si jema kwetu. Kuufungia mitandao wa x ni wazi kua wamebaini...
2 Reactions
6 Replies
224 Views
Naam Naam Wana Board Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu Matumizi ya makaa ya mawe yamefanyiwa utafiti na kuonesha yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na hayana moshi na huwaka kwa muda mrefu...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa sasa mimi ni muumini wa Kanisa la Anglican lakini hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na Kanisa Katoliki, na nimeona ndio Kanisa linaloendana na misingi yangu. Nadhani sijachelewa maana bado ni...
13 Reactions
23 Replies
379 Views
Navutiwa sana na biashara zinazohusu madini, kuanzia uchimbaji Hadi uuzaji. Tupeane uzoefu kwa walioko kwenye sekta hii , mfano nikitaka kufungua kampuni ya kuchimba madini taratibu zipi...
3 Reactions
38 Replies
626 Views
  • Redirect
https://www.instagram.com/p/DTQF747jz47/?img_index=1&igsh=cmtwbzFvcWVtM3hr
0 Reactions
– Replies
– Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…