Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam limewakamata watu wanne wanaoendelea kuhojiwa kwa tuhuma za unyang’anyi, kujeruhi na kupora watu barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Januari 8, 2026...
1 Reactions
1 Replies
227 Views
Binadamu ana tabia ya kugeuza matumizi ya vitu na sijajua hii tabia inatokana na nini Anaweza hata akavaa chupi kichwani au akajipaka mafuta ya kulainisha break ilimradi tu ageuze matumizi ndipo...
0 Reactions
2 Replies
184 Views
Kwa wale mnaokumbuka miaka 90 kurudi nyuma na nyuma kulikuwa na masafa kwa upande wa redio AM,SHORT WAVE na kwenye VHF. Ikifika usiku kwa upande wa redio Ukiweka SHORT WAVE unapata redio zilizopo...
8 Reactions
27 Replies
563 Views
Binafsi sielewi kinachoendelea nchi ya Congo kisiasa Kinachoonekana ni kuwa Wananchi wake wanateseka sana Rais wao mara nyingi anaonekana akiwa kimya pengine labda anajitahidi lakini anazidiwa...
0 Reactions
12 Replies
229 Views
Askofu Gwajima atoa cheti cha Daudi Albert Bashite (S0546/0016) na kusema kuwa alipata F masomo yote ya Sekondari hadi Bible Knowledge. Matokeo hayo ni ya Kidato cha nne, Shule ya Sekondari...
57 Reactions
1K Replies
173K Views
Baraza la mitihani Tanzania kwanini lina puuza taarifa za vyeti feki vya mkuu wa mkoa Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Paulo Makonda ilihali jina lake halisi ni Daudi Bashite? Watanzania...
13 Reactions
48 Replies
7K Views
Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za...
1 Reactions
0 Replies
195 Views
Najaribu kuangalia umuhimu wa hizi dini ni upi mpaka sasa.? ukiachana na kujilimbikizia mali na kula sadaka za wahumini je upi mchango wa dini?.
7 Reactions
85 Replies
838 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa hivi karibuni litaanza ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) katika miji, hususan Dar es Salaam, kama sehemu ya utekelezaji wa maagizo ya Serikali...
1 Reactions
1 Replies
224 Views
Najua badhi yenu ntakuwa nimewakumbusha kitu. Twende twende kichwa kama boga. Twende twende ukomaa hadi ukitema mate yanadunda twende twende mikono kama mchimba makaburi Haha haha haha zama...
0 Reactions
81 Replies
11K Views
Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa...
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Mvua zinaponyesha mahali mbalimbali maji yake mengine hunywea chini ya ardhi, mengine hutelemka kuelekea bondeni kama mito, maziwa na bahari lakini yaliyo mengi pia hutwama. Maji yaliyotwama...
1 Reactions
2 Replies
115 Views
Hizi nyuzi ni kati ya masterpiece kuwahi kuandikwa humu JF.
4 Reactions
7 Replies
237 Views
Nakumbuka kwa Marehemu ruge tu,sio kwao pesa hakuna au watu wake wa karibu ila magonjwa mengine kama yanachukua pesa nyingi hupo kitandani tena ICU basi watu wanaomba uteuzi wa manyonyo kutaka...
3 Reactions
3 Replies
243 Views
Nina mifano mingi sana. Hata Mimi mwenyewe nimefeli mambo mengi sana kwa kutokuwa msiri. Mama mmoja hapa mtaa wa pili ana kaeneo kakubwa kidogo, ni maskini wa hoe hai. Alitokea mtu ammegee eneo...
20 Reactions
28 Replies
779 Views
Katika korido za mamlaka, kuna msemo mmoja wa kishushushu unaosema: "Ukaribu na jua unakupa joto, lakini unavyozidi sana kulikaribia jua unajiweka katika hatari ya kuteketea"Hii si kauli ya mzaha...
6 Reactions
4 Replies
207 Views
Mungu tusaidie jamani Serikali na Manispaa ya Ubungo tunaomba fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni. Vile vyoo ni hatarishi kwa afya ya binadamu kwa kweli, nimeenda mchana nikafika kuona vyoo 3...
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Liberia mwaka 1927.Katika matokeo mshindi alikuwa bwana Charles D.B King wa chama cha True Whig, alichaguliwa kwa kipindi cha tatu baada ya kumshinda mpinzani wake...
1 Reactions
4 Replies
245 Views
Mimi roho ina niuma sana jinsi ukipita chato unaona kabisa alafu NIT wanataka wakajirundike Airport ya dar na hapo hapo wawe na chuo kikubwa. kwa nini msichukue hapo.😔
2 Reactions
5 Replies
235 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…