Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jua lilikuwa limefichwa na mawingu mazito siku ile ya mazishi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. John Kijazi. Uwanja wa mazishi ulikuwa kimya, ukitawaliwa na sauti za ndege wachache waliokuwa wakiranda...
12 Reactions
30 Replies
3K Views
UTENGUZI Kupitia kurasa Rasmi za Crown redio na Televisheni wamethibistisha kuwa Rais wa Crowm media ametengua uteuzi wa Kikeke kama kiongozi wa Kipindi cha " Kasri". "Rais wa Crown Media Bw...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Binafsi naipinga serikali batili ya CCM na Kila jambo lake .Lakini nafikiri kama kuna kitu Hawa wanaojiita wanaharakati wanakosea sana basi ni utoaji wa taarifa hovyohovyo, Tena za upotoshaji .Hii...
2 Reactions
11 Replies
300 Views
Anonymous (6198)
Ningependa kuwasilisha masikitiko yangu kuhusu hali ya Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini, ni eneo linalokuwa kwa kasi, likiwa na idadi kubwa ya vijana na watoto, lakini linasahaulika katika...
1 Reactions
3 Replies
230 Views
My people, Milio ya ndege za Kivita na mabomu yanasikika katika mji wa gaza,kwa wakazi wa Gaza haya ndio maisha yao ya kila siku Kutana na Fatema binti wa miaka 24 mzaliwa wa Gaza ambaye katika...
3 Reactions
2 Replies
171 Views
Naandika nikiamini Ulishawahi kujiuliza kuhusu kivuli chako ama la kusikia walau kuhusu ushirikina unaohusisha kivuli. ...Lakini naamini kabisa hukuwahi kudhani kuwa unavyo vivuli vitatu Vivuli...
32 Reactions
196 Replies
38K Views
Jarida hili litakuelimisha na kukupatia taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya uchumi na sekta ya fedha nchini, hususani yale yanayoratibiwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Wale wa kishua wanaweza wasinielewe sana. Ila wale wanaotoka familia za hali duni kama mimi mtanielewa. Ukishapata ajira rasmi hasa serikali ndugu huja kama manyingu kutaka misaada. Hiyo inakuwa...
1 Reactions
8 Replies
280 Views
Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money. Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua...
10 Reactions
60 Replies
4K Views
Kwa Kipindi Kirefu binadamu wameishi kwenye Uelewa hafifu wa Kuhusu mwisho wa Dunia, hii inaweza kuwa ni kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Kuhusu mwanzo na mwisho wa DUnia asilimia kubwa ya...
4 Reactions
17 Replies
485 Views
Imagine unaishi kwenye nchi X ambayo maji yanaweza kukatika hata siku 7 bila sababu za msingi Na hapo nchi X ina mito mingi, maziwa mengi na bahari ipo sehemu kubwa tu, na ukichimba chini maji...
4 Reactions
10 Replies
318 Views
Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu. Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi: Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Wuiii uuuruuuu wiyooo ni huzuni na maumivu. Jana tu tulikuwa na furaha Chief Godlove kafulia baada ya habari kusambaa mitandaoni magari yake yakichukuliw. Vijiwe vya umbea na vibaraza...
13 Reactions
47 Replies
1K Views
Inakadiriwa ifikapo mwaka 2050, kizazi cha wa-Afrika wenye akili mgando kama ilivyo sasa kitakuwa kimetoweka. Kizazi cha wakati huo kinabashiriwa kuwa na uwezo mkubwa wa kung'amua mambo kuliko...
13 Reactions
128 Replies
15K Views
Habari ndugu watanzania wenzangu, sera ya elimu kwa sasa katika shule za umma ni elimu bure yani wewe mzazi jukumu lako mzazi ni kumuandaa mtoto na kuhakikisha mtoto anafika shule, lakini katika...
2 Reactions
5 Replies
234 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mwaka 2025, Tanzania ilifanya uchaguzi wake mkuu wa saba ambao ulikuwa na mafanikio makubwa ikiwamo kufikia asilimia 44 ya wabunge wanawake na kwamba uchaguzi huo...
1 Reactions
11 Replies
342 Views
Ujenzi wa wodi mpya ya Wagonjwa Mahututi (ICU) kwa ajili ya watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) umefikia asilimia 98, hatua inayotarajiwa kuboresha...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Hii sera ya elimu bure ilikufa na Magufuli. Kwa sasa elimu katika shule za umma ni gharama kubwa kuliko hata binafsi. Bila Tsh 600,000 mtoto haanzi kidato cha kwanza. Wazazi wananunua madawati...
4 Reactions
21 Replies
429 Views
  • Redirect
6 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom