Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jamvi...? Nikiwa high school pale mkoani Simiyu wilaya ya maswa MWAKA 2018 kuna tukio lilitokea na mimi kama kiongozi wa dini sikulipenda kabisa hii ilinifanya nikawa na mzozo na chair...
5 Reactions
32 Replies
642 Views
Hii ni real kabisa, Ndugu ni wezi,wanafiki,masintch, wazembe,wasiopenda mafanikio yako,wadokozi,hawajali chochote kuhusu wewe na fedha zako...nk Ata ukimtafutia kazi sehemu kuna asilimia kubwa...
5 Reactions
19 Replies
342 Views
Mzee wa dungu jeshi shavu kilema mwenye ngebe, nyodo, madharau, majigambo na majivuno katinga bongo jana na mkwara mbuzi wa mabodyguard uchwarwa. Kayngay huyo mwenye makazi yake uingereza na...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Siri ya mafanikio yako ni maamuzi tu basi usidanganywe sijui connection. Sijui freemason sijui nini. Hayo yote yanatokea baada ya kuchukua maamuzi tu. Wewe jaribu kuchukua maamuzi kwa kile...
12 Reactions
30 Replies
659 Views
Anonymous (ca63)
Mimi naitwa Matson Mathias Ngonyani ni Baba wa Watoto wanne na nina ulemavu wa masikio, kitaaluma ni Afisa Muuguzi niliajiriwa na Wizara ya Afya Mwaka 2019 kisha nikahamishiwa Baraza la Uuguzi na...
10 Reactions
41 Replies
1K Views
Katika familia yetu tulikuwa vijana wengi sana, hata tulipoanza safari ya masomo tulianza sote na kumaliza kwa pamoja. Kila mara nilikuwa nachelewa kufika shule na kuadhibiwa. Maonyo yalikuwa...
6 Reactions
9 Replies
370 Views
MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀. MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani aliyemdanganya Mtu pale...
6 Reactions
17 Replies
430 Views
Changamoto ni nyingi sana unazozipitia. Kuanzia kwenye familia yako ,kazini kwako na pia hata kwenye mahusiano yako. Na pia labda una changamoto ya kiafya ya muda mrefu inayokutesa kiasi...
9 Reactions
18 Replies
635 Views
Ndugu na mdau wa jukwaa hili ninatumia nafasi hii kuwasilisha wazo langu la biashara kwa mwaka huu wa 2026, nikiwa na matumaini ya kupata mrejesho, ushauri wa moja kwa moja, na hasa mawasiliano ya...
2 Reactions
4 Replies
405 Views
Leo asb Hamisi Kigwangalla ameliamsha tena huko Instagram suala la uaminifu wa watanzania. Amehadithia alichofanyiwa na kijana aliyemuamini. Huko nyuma amewahi kuuliza WHAT IS TANZANIA'S...
18 Reactions
114 Replies
13K Views
Anonymous
Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika. Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema...
3 Reactions
6 Replies
281 Views
Anonymous (6198)
Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko...
2 Reactions
12 Replies
595 Views
Anonymous (6198)
Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia. Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia...
2 Reactions
5 Replies
301 Views
Mfano wa hizo mashine ni kama zifuatazo;- 1-Die Casting Machine • CNC Wire EDM Machines: • CNC Electric Discharge Machines (EDM) • CNC Milling Machines: • CNC Lathes: • CNC Routers: • CNC Plasma...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Nina kero inayohusu Halmashauri ya Jiji au Halmashauri ya Ilala, sisi Vibarua tunaosimamia Vyoo vya Halmashauri ya Jiji tunacheleweshewa mishahara mara kwa mara na hatuzingatiwi na Viongozi wa Juu...
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Anonymous
Wafanyakazi Chombo cha Watoa Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) kiukweli tunapitia changamoto nyingi sana kwani tunafanya kazi nyingi usiku na mchana kuhakikisha huduma za maji zinakuwepo...
2 Reactions
7 Replies
198 Views
Siku ya ijumaa ni siku bora kwa muislam. siku ya Ijumaa ni siku bora kuliko siku zote katika Uislamu. Mtume Muhammad (ﷺ) amesema: “Siku bora ambayo jua limechomoza ni siku ya Ijumaa.” Sababu...
12 Reactions
92 Replies
1K Views
Salaam wakuu!! Miaka ya tisini mwanzoni kuna mfanyabiashara mmoja ambaye pia alikuwa akifanya biashara ya dawa za kulevya alikamatwa yeye gari lake. Gari lake hilo (tractor/kichwa) kilikaa muda...
8 Reactions
79 Replies
26K Views
Back
Top Bottom