Watu wenge duniani hawajui kiarabu
Tafsri si qur’an halisi
Upande wa Qur’an (Uislamu)
Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu
Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an
Swala...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake...
Baada ya Chief Odemba kumbananisha Zitto Kabwe na kuambiwa hadharani aping ushoga, kulingana na maadili ya Tanzania na Nchi nyingi za Afrika, watu walitegemea atapinga ushoga kwa kauli moja tu...
Kupitia AI,
Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu.
Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu...
Pepo la Umaskini
Pepo la mikosi
Pepo la kukosa ndoa
Pepo la kuzalia nyumbani
Pepo la ugumba
Pepo migogoro na mafarakano
Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu
Pepo la madeni na mikopo isiyolipika...
Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini?
Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni...
Ogopeni kabisa huu mchezo ni hatari kwa afya na uzima wako na uhai wa gari pia. Kuna kitu cha kushangaza sana kwenye hili jambo! Vitu vya moto hasa vyenye mwendo havipatani kabisa na ngono, sijui...
Kutokana na Mkoani Songwe kuwa na msongamano wa malori, katika mpaka wa Tanzania na Zambia, upande wa Tunduma, wilayani Momba, mkoani humo, nimeona niweke Special Thread ya Watu wa Malori, kwani...
Kuvua viatu ILI unihudumie hiyo haipo na siwezi kununua au kwenda maeneo yenye sheria HIZO HATA kama Nina viatu vya kupachika..
Naingia pokea PESA yangu utafanya usafi hutaki subiri jamaa ZAKO...
Naomba kutoa changamoto yangu kwa Wahudumu wa mabasi hasa ya mikoani, kuna baadhi ya sehemu za mapumziko mafupi kwa ajili ya Watu kujisaidia maarufu kama “chimba dawa” mabasi yao yamekuwa...
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara kufungua maonesho ya Madini Lindi wilayani Ruangwa
Zaidi ya Washiriki 300 wamejitokeza kushiriki Maonesho ya Pili Lindi (LINDI...
Bilionea Patrice Motsepe na baadhi ya kampuni zake wanatuhumiwa kujaribu kutumia mahakama za Afrika Kusini kukwepa uamuzi wa kesi unaotarajiwa kutolewa nchini Tanzania kuhusu mgogoro wa uchimbaji...
Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na bilionea wa Afrika Kusini, Patrice Motsepe, anakabiliwa na changamoto kubwa ya kisheria nchini Tanzania, katika kesi yenye thamani ya takriban dola...
Moja ya madai maarufu miongoni mwa Waislamu duniani ni kwamba Qur’an haijawahi kubadilishwa hata herufi moja tangu ilipoteremshwa kwa Nabii Muhammad. Lakini je, historia na sayansi ya maandiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.