Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Tukajitolee kujenga taifa jamani:Alien::Alien::Alien: ---------- Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, amewahimiza vijana wa Kitanzania wenye sifa kujitokeza...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa fast jet ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo...
44 Reactions
158 Replies
4K Views
Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa...
3 Reactions
47 Replies
998 Views
Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa...
5 Reactions
11 Replies
460 Views
Habar wakuu naomba mnijuze sehemu Gani dar ntapata kuku wakuchoma wakienyeji na ndizi choma,,msaada wenu
4 Reactions
31 Replies
652 Views
Kwa jina la Utatu Mtakatifu, nakusihi na kukuapiza, samia suluhu hassan wewe muuwaji, mwanamke, kwa jina la Mungu ajuae yote, kupitia Aroni kuhani mkuu, ambaye kwa msaada wake nawashinda na...
10 Reactions
38 Replies
588 Views
Habari zenu, Nashangaa sana ili jukwaa endapo ukiandika uzi wa kuomba msaada. Kama Ada, Huduma za matibabu Moderators huzifuta haraka sana. Na unakuta mtu katoa mpaka baadhi ya info zake ili apate...
1 Reactions
1 Replies
103 Views
Suala la kujiuza ni jambo la udhalili na pia kimaadili halifai, lakini inafika wakati, hali ya maisha inakua ngumu hadi mtu anaona, njia pekee ya kujinasua ni kutumia mwili wake, mdada akiangalia...
10 Reactions
35 Replies
652 Views
Fundisho la Kikristo linasema: Baba hana mwanzo (hajazaliwa) Mwana amezaliwa Roho hutoka (hutoka kwa Baba) Haya si mafumbo ni maneno ya uhusiano. Yanaeleza asili, chanzo, na utegemezi. Hivyo...
6 Reactions
157 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Makamu Mwenyekiti wake Taifa, Mheshimiwa John Heche, kimezungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama wa chama hicho, na kueleza...
2 Reactions
3 Replies
230 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, imeweka msisitizo kwa Hospitali za Serikali wilayani humo, kuhudumia wagonjwa kabla ya malipo ili kuokoa maisha na kupunguza malalamiko. Hatua...
2 Reactions
3 Replies
255 Views
Mkondya na mwenzake, Rweyemamu John (59), ambaye ni Meneja na Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 126 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Anonymous
Habari wana JF, kuna siku niliwahi kuleta changamoto yangu juu ya ubovu wa barabara ya kutoka Chelesi – Kisiwani (zamani Kibedange) Halmashauri ya Mji Makambako. Kiukweli barabara ni mbovu sana...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 37 wanaume raia wa nchini Ethiopia kwa tuhuma za kuingia...
1 Reactions
5 Replies
256 Views
Kwa Wajasiriamali na Viongozi wa Biashara Uongozi wa kweli haupimwi wakati mambo yame nyooka na fursa zimejaa tele, bali hupimwa wakati hali inapokuwa ngumu na kuonekana si ya haki kabisa. Funzo...
0 Reactions
2 Replies
173 Views
Nimeona baadhi ya wadau wakitoa maoni ati Kwa Hapa nyumbani TANZANIA hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haipo. Kwamba ipo kwenye makaratasi ya hukumu tu Wanasiasa wanawadanganya ati hawawezi...
35 Reactions
112 Replies
7K Views
Waheshimiwa najiuliza tuu kama taifa tukifadhili upandaji Mlima Kilimanjaro kwa bingwa wa Afcon kila ikitokea, jee kiutalii, kifedha na kitaswira ITATULIPA? (Picha hii ni AI generated)
2 Reactions
3 Replies
150 Views
Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania...
14 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…