Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Sababu ya Asili Holodomor ilikuwa njaa ya bandia iliyoletwa na sera za kisiasa na uchumi za Soviet Union chini ya Joseph Stalin. Sababu kuu ni: •Kutaifishwa kwa Kilimo: Wakulima wa Ukraine...
2 Reactions
4 Replies
216 Views
Wanabodi hii mada ni tata sana, kabla hujaisoma inabidi uweke hisia na mafundisho ya dogma pembeni. Albert Pike kwenye kitabu chake cha "Moral and dogma of freemasonry and accepted Scottish right"...
3 Reactions
21 Replies
598 Views
Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho...
1 Reactions
8 Replies
275 Views
Hii ni Barabara Kuu inayounganisha Kata ya Buhanda na Businde iliyopo Manispaa ya Kigoma/Ujiji, ambapo katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, hapo Businde ni Kata pekee ambayo haijawahi kuwa na lami...
2 Reactions
2 Replies
229 Views
hapa nimekupangia maandishi yako kwa mpangilio mzuri lakini bado kwa herufi ndogo: day one no 1 1. omba Toba na Rehema juu yako familia yako ukoo wenu taja mababu na watoto wako kwa majina...
2 Reactions
8 Replies
340 Views
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 64 raia wa China alidungwa na nondo ya chuma baada ya kuanguka juu yake kutoka urefu wa takribani futi sita. Wenzake kazini walisema aliteleza alipokuwa...
1 Reactions
3 Replies
189 Views
Mbona mitandao mingine na ma bank wanatoa taarifa mapema kabla siku ya maboresho ma wanafanya usiku asubui mambo shwari nyinyi mnashindwa kufanya usiku hamna taa au? Kuna wagonjwa wanateseka...
1 Reactions
9 Replies
237 Views
Jambo Wakuu! Takribani miezi minne imepita Sasa tangu nilipo-interact hapa kwa mara ya mwisho.Hakika imekuwa ni safari ndefu mno maana nimepotezana na watu wengi Sana wa maana kwangu ambao...
4 Reactions
7 Replies
260 Views
Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakichangishana fedha na kukopeshana kwa mfumo unaoitwa benii za vijijiji (VICOBA). Kupitia mfumo huo, wanachama waliokubaliana huchanga fedha na lkuziweka kwenye...
0 Reactions
3 Replies
247 Views
Katika hatua ya kuongeza uelewa, uzoefu na kukuza ujuzi wa wataalamu na wadau wa magonjwa ya moyo, washiriki 600 kutoka mataifa zaidi ya 60 duniani wanatarajiwa kushiriki katika Mkutano wa Nne wa...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Wakati David Dennis alipoona kwa mara ya kwanza nywele zimetawanyika katika duka lake la kinyozi la shule ya sekondari, hakujua kabisa kwamba nywele hizo zilizotupwa siku moja zitamweka mbele...
1 Reactions
1 Replies
304 Views
Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake...
4 Reactions
9 Replies
680 Views
Simuoni hapa JF Yulo wapi?
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Hi ni historia ambayo unaogopwa kuifundisha katika shule, za kikuristo wanataka kushambulia Uislamu kwa kipitia waarabuwalio husika katika biashara haramu ya utumwa wakasahau kwamba mizizi ya...
1 Reactions
3 Replies
160 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Benki ya Stanbic imethibitisha tena nafasi yake kama mdau muhimu na mshirika wa kuaminika katika masoko ya mitaji nchini Tanzania, baada ya kushiriki kama...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
  • Redirect
Serikali ya Marekani, chini ya utawala wa Rais Trump, imetangaza rasmi kukamilisha mchakato wa kujiondoa katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku ya Alhamisi. Hatua hii inakuja ikiwa ni mwaka...
0 Reactions
– Replies
– Views
Makampuni ya kutengeneza magari ya China sasa yanaongeza juhudi za kuingia katika soko la magari la Afrika, yakilenga magari ya umeme na magari mseto ya bei nafuu, katika wakati ambao dunia...
4 Reactions
8 Replies
603 Views
Ndugu yangu, kumbuka kila wakati, katika dunia hii sio wote wanaofurahia mafanikio yako ya kimaisha, ya kikazi au ya kibiashara. Kwa sababu hiyo yamkini kuna watu wanapanga mbinu za kukuangamiza...
30 Reactions
88 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…