Mariham, akasema:
Bwana wangu Yesu, basi mtu mwenye kusingizia kila mara, atakapotoka mwilini ataenda wapi, au adhabu yake ni nini?
Yesu akasema:
Mtu mwenye kusingizia kila mara, muda wake wa...
China ni nchi kubwa inayoendelea, ambayo imekuwa mstari wa mbele katika kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani zikiwemo za Afrika, kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira yanayoendana na...
Soma hapa: UDOM hao omba omba ndani ya chuo na Watoto wadogo wanaozagaa kwenye cafeteria hatuwaelewi, liangalieni hili
Nilimuona mwana-JF mmoja aliandika kuhusu hawa omba omba na issue ya watoto...
1. Kula pasipo kumwaga mwaga
Wafundishe watoto wako kuona thamani ya chakula wanachokula kwa kula pasipo kumwaga chini hovyo,kumwaga mezani au kujimwagia chakula na kuchafua mavazi yao...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusufu Mwenda, amesema kuwa taasisi hiyo imekuwa na mchango mkubwa katika kuhakikisha usalama wa nchi na raia wake kupitia udhibiti mkali wa...
Wakati baadhi ya wateja wakilalama kuhusu kuisha haraka kwa umeme wanaonunua kupitia mfumo wa Luku, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku 100 tayari imetoa shilingi bilioni 10.5 kwa ajili ya kuwawezesha...
Mfanyabiashara wa Tanzania Kiluwa amesaini mkataba wa ubia wa uwekezaji wenye thamani ya Dola za Kimarekani Billion 7 ambazo ni zaidi ya Trillion 17 na billion 800 za Tanzania kwa lengo la...
Waswahili wana msemao wao husema "kweli ikidhihiri uongo hujitenga". Hii inamaanisha kwamba ikiwa kuna uongo unasemwa/unasambazwa, ikitokea siku ukaelezwa ukweli basi hule uongo moja kwa moja...
Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi?
Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji...
Mbona mapema sana ukaondoka kimya kimya,
Saa haijagonga, safari ikaisha ghafla,
Tulikuwa bado njiani, ndoto hazijakomaa,
Sasa tushike lipi, wakati moyoni pana giza?
Maswali yamejaa, majibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.