Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kundi la walalamikaji kutoka mataifa mbalimbali limewasilisha kesi dhidi ya Meta Platforms, Inc., likidai kuwa kampuni hiyo imetoa taarifa za uongo kuhusu faragha na usalama wa huduma ya...
2 Reactions
3 Replies
369 Views
Happy birthday mamy . Nakuelewa sana mama Samia. Waliotaka kuufanya uongozi wako kama punching bag wameparaganyika. Hawaamini macho yao . Awe NABII, sheikh au mchawi yeyote atakayeinua kinywa...
-1 Reactions
3 Replies
154 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Kuna ile unaenda dukani kununua bidhaa fulani mfano unaambiwa bei yake ni 100k halafu wewe unasema nina 70k tu, mwenye duka bila kusita anakwambia "Sawa Lipia" Hivi huwa unahisi vipi, umepigwa...
5 Reactions
25 Replies
515 Views
Williams Ruto hawapelekea moto wakenya baada ya kuona hawajitumi katika kujenga Nchi, huku akitolea mfano wa Watanzania wameenda kununua ardhi maeneo ya Upper Hill jijini Nairobi sawa na maeneo ya...
6 Reactions
16 Replies
526 Views
Katika safari ya maisha, hekima ni nyenzo muhimu inayoweza kuleta utulivu, maendeleo, na mafanikio. Dunia yetu inakabiliwa na changamoto nyingi—migogoro ya kifamilia, kisiasa, kijamii, na hata...
0 Reactions
9 Replies
667 Views
Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji...
1 Reactions
1 Replies
226 Views
Wakuu natumaini mpo salama Sana na poleni Kwa majukum mbalimbali nilikuwa naomba nijuzwe maeneo mazuli ya Kula na kupumzika, nitakuepo Kwa MDA WA siku mbili .vyumba bei iwe Kati ya tsh 10-30
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Anonymous
Ruvuma–Songea–Mkuzo kumekuwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji hapa Songea. Mamlaka ya maji (SOUWASA) wamekuwa wakifungua maji usiku kuanzia saa 9 na kuyakata tena saa 11 usiku, hali...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment! Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao...
5 Reactions
17 Replies
281 Views
📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake. Kifo cha...
4 Reactions
13 Replies
485 Views
Baraza la mitihani NECTA limetangaza kuwa matokeo ya kidato cha nne 2025, yatatangazwa Rasmi Januari 31 2026 saa 5 Asubuh
0 Reactions
3 Replies
427 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amesema anafuatilia madai kuwa kuna taarifa za Shule ya Msingi Nyanga English Medium kukiuka taratibu za udahili na kwamba kuna mazingira ya kupeana nafasi ya...
2 Reactions
3 Replies
305 Views
  • Redirect
Ukijifanya unashika sana dini kuna baadhi ya seli za akili yako zitakuponyoka Asanteni tumpende Mungu na kutafakari kwa akili njia zake
4 Reactions
– Replies
– Views
Mwanzoni kulikuwa na utaratibu mzuri kabisa! Kulikuwa na jukwaa la dini na si kila mtu aliruhusiwa kuingia huko! Hii ilisaidia kwa kiwango kikubwa kiwadhibiti hawa wapuuzi Dini ni imani na ni...
32 Reactions
196 Replies
2K Views
Back
Top Bottom