Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Niko Dar es Salaam mwezi wa tatu kwa sasa, Sasa nataka nikamalizie project zangu Dodoma kama miezi mitatu hivi before sijageuka tena S.A. Gharama za guest au Air bnb ni kubwa sana...
1 Reactions
4 Replies
295 Views
Kwa miaka mingi mji wa Mbeya ulikua unatambaa kimaendeleo lakini tangu upewe hadhi ya jiji 2005 na upepo wa kisiasa kubadilika,jiji limeanza kukua na kutoa matumaini ya kua jiji shindani na lenye...
6 Reactions
345 Replies
68K Views
"ANGALIZO : Kama huna ukomavu wa Akili - Hizi Makala zinazopostiwa humu usisome, Hizi Elimu ni kwaajili ya wachache wenye Ukomavu wa Fikra. Waliyo huru kufikiri bila mipaka ya Kiimani. Haya...
4 Reactions
25 Replies
434 Views
Hivi karibuni, tumeshuhudia video mitandaoni kutoka kwa kina Photogenic Mtoto na kikosi chake. Wametupitisha kwenye madaraja ya kifahari ya meli mpya ya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu", kuanzia VIP hadi...
7 Reactions
21 Replies
530 Views
Aisee mwamba anaandika nyuzi kila baada ya dakika 2 duh alafu mambo hayaeleweki😁
7 Reactions
49 Replies
1K Views
●Kutoka katika kalamu ya Chriss Gabriel Mwaluko huu ni uchambuzi wa kina wa The Black Death. Hii si hadithi tu ya ugonjwa, bali ni ushahidi wa kipindi ambacho dunia iligubikwa na giza, hofu, na...
2 Reactions
2 Replies
236 Views
Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka...
2 Reactions
5 Replies
253 Views
Huu ni utafiti wangu nimefanya kwenye miji mikubwa na hata vijijini kwenye kila mkoa hapa Tanzania Ni Watanzania wachache sana ambao wanamudu kula milo 3 na hasa kipengele ni breakfast (mlo wa...
15 Reactions
74 Replies
1K Views
Mfano unakuta mtu kaweka status kanunua gari, kapata mtoto, kajenga nyumba, n.k. Mungu kawa mwema sana kwangu kunipa hizi baraka kwa wakati huo wapo ambao wana magonjwa, ni masikini, hawana...
2 Reactions
8 Replies
220 Views
Maisha ya Watendaji wa Serikali za Mtaa baada ya Baada ya Oktoba 29, bado ni yaleyale, hakuna uwajibikaji stahiki “Effects” au matokeo ya kilichotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali imetoa Shilingi Milioni 675 kutekeleza mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Mailimoja cha Manispaa ya...
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Wanabodi nilikuwa napitapita huko mitandaoni nikaona Toyota wameachia rasmi chuma yao mbabe wa offroad na mshindani wa Hummer Toyota 2026 Mini Land Cruiser FJ, Hii chuma bwana ni chotara yenye...
5 Reactions
10 Replies
649 Views
  • Redirect
Wapiganaji wa kigeni wa IS walikamatwa wakati wa Operesheni ya Almiskaat huko Puntland. Waliokamatwa wanajumuisha raia kutoka Uturuki, Yemen, Saudi Arabia, Morocco, Ethiopia, Syria na Tanzania...
1 Reactions
– Replies
– Views
Ndio sasa hivi watakuwa wanataniana kuwa mwenzangu ulikuwa unalenga vizuri, mwingine atasema kuna mtu nilimpiga ya kichwa alikufa namuona roho inaumia, lakini wengine wanaombea itokee Tena...
4 Reactions
5 Replies
261 Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibwa, aliyedaiwa kubomoa baadhi ya majengo yaliyokuwa kwenye maeneo...
1 Reactions
1 Replies
284 Views
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine. Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za...
13 Reactions
91 Replies
7K Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au? Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?; Soma Pia...
3 Reactions
4 Replies
290 Views
Back
Top Bottom