Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Vitu Muhimu vya Kujiandaa Nyumbani 1. Vyakula Mchele Maharage / kunde Unga wa ugali / ngano Sukari Chumvi Mafuta ya kupikia Mboga zinazoishi muda mrefu (viazi, vitunguu, karoti) Dagaa Jaza...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia...
2 Reactions
67 Replies
2K Views
Nimeona nishee huu ujumbe, nimeupata mahala...hii ni kwa yeyote yule mwenye mpendwa wake anaeshikiliwa kutokana na vurugu za uchaguzi.... Uza kitu chochote! chonde chonde! NARUDIA!!! Uza hata...
7 Reactions
16 Replies
923 Views
Habari zenu ndugu zangu wana Jf.. kama mada inavyojieleza hapo hebu naombeni mnipe mbinu...mimi si mzuri kwenye kuandika ila natumaini mtanielewa nahisi kuchanganyikiwa nahisi kukata tamaa sijioni...
8 Reactions
50 Replies
843 Views
Sada Alfani, Mfanyakazi wa Kampuni ya Kuuza Mafuta ya Lake Oil amejikuta akimwaga Machozi mara baada ya kupoteza Kazi kutokana na Kituo hicho Kuchomwa Moto kufuatia Vurugu za Oktoba 29. Sada...
3 Reactions
32 Replies
964 Views
Kuna mambo mpaka leo sielewi ndugu zangu, hivi hao waliokua wanashoot watu tarehe 29 na 30 walikua na mioyo ya namna gani? Na cha kushangaza hakuna kiongozi wa serikali aliyelaani wala...
6 Reactions
13 Replies
699 Views
Nimekusikia ukisema Yesu asifiwe na tumkutuze Yesu. Hii pale upotoa salamu ktk mazishi ya mtei. Unapokua muislamu kuna miiko ya maamkizi popote pale na ktk shughuli yoyote ile. Muislamu hutakiwi...
4 Reactions
9 Replies
259 Views
Sheria ya data protection inahusu watu gani? Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Aisee nimewashwa mwili mzima wiki 2 hadi nikatumia ile dawa kama maziwa ndio nimepona duh
5 Reactions
12 Replies
301 Views
"Nina degree ya chuo maarufu lazima niajiriwe tu, ngoja nisikilizie kwanza hapa kwa shemeji" "baba ana pesa nitakaa nae kufanya nae kazi alafu mwishoni lazima anipe mzigo wa kutosha" "kwanza...
4 Reactions
8 Replies
227 Views
Nishati (energy) ndiyo mhimili wa uchumi wa nchi. Mataifa makubwa kama Marekani hutafuta nishati kwa nguvu kubwa kwa sababu yanafahamu umuhimu wake. Modern geopolitics ipo centred around energy...
0 Reactions
2 Replies
204 Views
Yaliyofanyika mtaona mengi ndugu zangu kama ICC na documentary zikitolewa mnaweza kutokuwa wapole kwa haya ya utawala wa CCM wauwaji. Watu wamekufa kwa tabu wakijiona na wengine walipelekwa...
4 Reactions
24 Replies
875 Views
1. School Won’t Make You Rich — But School Is NOT a Scam Shule haikubuniwa kukufanya uwe tajiri. Shule ilibuniwa kukufanya uwe mtu wa kawaida mwenye nidhamu, uwezo wa kusoma, kuandika na...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
22 Reactions
171 Replies
4K Views
Habarini Nashauri serikali iongeze nguvu kazi katika kuzuia maandano ya D9 kwa kuchukua walimu hawa ni cheap labor na watiifu mno mafunzo ya wiki pia yanawatosha maana kiasili tayar wanaroho...
8 Reactions
22 Replies
749 Views
Let's begin again with our endless debate. Questioning authority and culture ili tupate ukweli ulipo lala?
7 Reactions
116 Replies
1K Views
29 ilikukuta wapi, ulirudi vipi nyumbani TAHADHARI: Naomba tusitaje maeneo ili kuepuka kuwapa maadui nafasi ya kujua mbinu. Nakumbuka baada ya kujitokeza kwenye maandamano na kuandamana hadi...
4 Reactions
7 Replies
290 Views
Dear Ugandans, welcome back to the internet. What happened while you were gone?
1 Reactions
2 Replies
167 Views
Kuna Nyimbo Moja Ikipigwa Bar Madem hua wanapagawa mno ,Pale Ndani inakua ni mwendo wa Vilio Sijui hua wameachwa.😂 Inaimbwa hivi. Koma kunichokonoa Kunifatafata Kuna muda vinaboa Aku utanitia...
4 Reactions
21 Replies
488 Views
Back
Top Bottom