Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hili ni swali linalohitaji ufafanuzi: kwa nini vijana waliyoitwa kwenye usaili wa Zimamoto kuanzia tarehe 15 Disemba 2025 hadi tarehe 20 Disemba 2025 hawakupata nafasi ya kwenda kwenye mafunzo...
2 Reactions
15 Replies
429 Views
Picha zote nilizotumia kwenye uzi huu ni za Kahama Mimi sio mkazi wa Kahama ila huu mji unahitaji attention Kahama ni mji unaokua kwa kasi na mzunguko wa hela upo vizuri kwa level za Kitanzania...
19 Reactions
30 Replies
1K Views
Kufuatia malalamiko ya wateja wa umeme wa Luku kuisha haraka katika matumizi, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limefanya ukaguzi wa kitaalamu na kubaini, tatizo hilo linasababishwa na mifumo...
2 Reactions
0 Replies
502 Views
Anonymous
Huu ni mwezi wa pili kwa wawekezaji kupitia UTT amis wengi hawawezi kuuza vipande vyao wala kuona taarifa zao kupitia application. Awali walisema ni changamoto ya application hivyo unataka...
10 Reactions
133 Replies
3K Views
Mwenye akili darasani anaeweza kufika hadi chuoni degree . Mwenye akili ya pesa darasani yupo vibaya au wa kawaida lakini akili ya pesa ipo.
0 Reactions
14 Replies
234 Views
Wakuu, leo nawapasulia jipu la mwisho. Kama unajua akili yako imeshikiliwa na itikadi, usisome. Hii ni kwa ajili ya binadamu wanaotumia UBONGO kudadisi "The Hidden Truth." 🧠🚫 📍 1. VATICAN: THE...
5 Reactions
25 Replies
829 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando, anadaiwa kukiuka maagizo ya Mahakama ya Rufani kwa kumrejesha mdai aliyeshindwa kesi katika eneo lenye nyumba, ambalo Mahakama iliamua kuwa mdai huyo hana...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu, Dk. Zakir Naik, anaendelea kutajwa na wafuasi wake kuwa mmoja wa wahubiri wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani, baada ya kudaiwa kuwa amechangia kusilimisha zaidi...
2 Reactions
94 Replies
938 Views
Unazaliwa, unaambiwa ujivunie ukoo wako. Unafundishwa historia ya babu zako, ukoo uliotoka, na majina makubwa ya familia. Lakini kadri unavyokua, unaanza kuuliza swali gumu: Mbali na jina, kuna...
6 Reactions
19 Replies
685 Views
Ukiwa ni mtu wa kuzunguka kikazi katika ofisi mbali mbali alafu ukiambiwa u-rate customer service utaishia kujikuta kati ya ofisi 20 ni 3 tu zinatiki. Sijui ni msongo, Sijui ni mazoea, Sijui...
2 Reactions
7 Replies
202 Views
Naomba msaada kwa anayejua ntaweza kupata hotel au lodge ya Bei 15 hapa maeneo ya manzese anitajie Nina uhitaji mkubwa Logde au hotel inayoanzia chumba 15 , naomba anitajie Au naomba mnitajie...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Naomba kujulisha nataka kukata tiketi, kampuni gani ipo vizuri kwa ruti hiyo ambayo hawana ubabaishaji?
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Mimi huwa naleta nyuzi muhim ambazo zimegusa maisha yangu na kama una la kujifunza jifunze na huu uzi serikali pia iweke jicho kwa makini kuwa watu wanaopata Div 0 wanatakiwa kuangaliwa kwa jicho...
13 Reactions
60 Replies
1K Views
Where are you Jesus?!!
1 Reactions
14 Replies
215 Views
Wakuu, nimeona "mapovu" yenu. Eti dini siyo kikwazo? Eti Mungu anajua unachofanya? Acheni niwapasulie ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia: 1. UTAPELI WA VIAPO VYA VIONGOZI Tunaona viongozi...
8 Reactions
44 Replies
795 Views
1979 wanawake wa iran wakishikilia picha ya ayatollah kwa shangwe.👇 Hali ilizidi kuwa mbaya kutokana sera alizotoa ayatollah maana ziliminya haki na ustawi wao, hii ilepelekea wao kuandamana...
4 Reactions
14 Replies
247 Views
Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno. Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna...
6 Reactions
24 Replies
618 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Tingi, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za kumchoma mke wake tumboni kwa kutumia kitu chenye ncha kali baada...
5 Reactions
35 Replies
965 Views
1. UTANGULIZI Rejea kichwa cha habari hapo juu. Sisi, kama, hapa nawasilisha malalamiko rasmi dhidi ya agizo la mdomo lililotolewa na Mhe. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, mnamo Januari 2026...
4 Reactions
18 Replies
493 Views
TAARIFA KWA UMMA WAONGOZA SHEREHE, BURUDANI NA MATUKIO (MC), MANJU MUZIKI (DJ) NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI NA KUWA NA KIBALI HAI CHA BASATA IFIKAPO TAREHE 31 JANUARI, 2026. 29 Disemba, 2025...
2 Reactions
8 Replies
597 Views
Back
Top Bottom