Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya Januari 27 iliungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa...
9 Reactions
21 Replies
569 Views
Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara kwa kuangalia pato ghafi la mikoa hadi 2024: 1. Dar es Salaam - Trilioni 34.8 2. Mwanza -Trilioni 14.6 3. Mbeya - Trilioni 11.6 4. Morogoro -Trilioni 9.8 5. Arusha -...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
1.Ghana 2.Mali 3.Burkinafaso 4.South Africa 5.Sudan 6.Guinea 7.Cote D'Ivoire 8.Tanzania 9.Zimbabwe 10.DRC My Take Tanzania ndio Nchi imenufaika na Utajiri wake wa dhahabu kuliko zingine hapo Juu...
0 Reactions
9 Replies
530 Views
Mbeya nitaenda haraka, ila Kilimanjaro (Moshi) na Arusha sithubutu kwenda kwani kiasili hakuna Vyuma vya maana.
4 Reactions
31 Replies
451 Views
Tuishi sana kwenye maombi aisee. Leo jioni nimefungua Facebook, karibu marafiki 10 tayari wamepoteza wapendwa wao. Kila post ni RIP kaka, RIP dada, RIP aunt, RIP mjomba. Mmh, hali inaogopesha na...
1 Reactions
3 Replies
157 Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza Naomba leo tujikumbushe kidogo adhabu tulizowahi kupewa mpaka ukatamani Bora akuchape tu yaishe 1) Binafsi nakumbuka kipindi tukiwa shuleni siku Moja...
9 Reactions
38 Replies
728 Views
Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii. Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Nimeweka hela kwa wakala nmb, mtandao ukaonyesha uko chini, akanirudishia hela nikasepa, baada ya lisaa napata sms NMB hela imeingia, wakala hatufahamiani, baadae ananipigia anasema ameangalia...
1 Reactions
1 Replies
211 Views
Juzi niliona taarifa inaenea kwenye vyombo vya habari kuhusu Mkataba wa ujenzi wa viwanda Pwani.Katika muktadha wa mkataba huo wa uwekezaji unaotajwa kufikia thamani ya Dola za Marekani bilioni 7...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema kumekuwa na mwenendo mbaya wa baadhi ya Watumishi wa umma wasiokuwa na maadili wa...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Hebu tujipigeni vifua mara 10 huku tukisema kwa sauti kuu: "SISI NI MAFALA NA TUNA ELIMU YA KITUMWA!" 🤡🥊 Miaka 60+ baada ya uhuru, bado tunasoma elimu ya kifala iliyochakaa. Tunasoma masomo 15...
8 Reactions
16 Replies
428 Views
Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila ya kupata majibu 😭 Nimehitimu Diploma ya Uhasibu kwa shida sana, maana nilikuwa natumia nguvu ya ziada kutafuta wanafunzi wenzangu wanisaidie...
13 Reactions
31 Replies
861 Views
Habari ndugu zangu! Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya. Uwanja...
1 Reactions
3 Replies
236 Views
Je Mungu alishamaliza kuumba ? Tunatambua Mungu aliumba ulimwengu kwa siku 6 na ya saba akapumzika, sasa je baada ya hapo hakupumzika tena mpaka leo imekuwa tu mwendo wa kuumba viumbe wapya...
4 Reactions
15 Replies
372 Views
Hizi guest za elf 15 mpaka 30 utakuta ndala ni rangi tafauti, hivi Kuna watu wanaiba ndala? Mtu kalipia guest elf 20 aibe ndala za buku 2 kweli au watu wa guest wanakuza tu mambo! Eti mjusi...
12 Reactions
28 Replies
517 Views
Habari wandugu! Tokea jana naona app ya halotel inanikatalia kufanya kazi. Nikiingia nakutana na ujumbe unaonambia ni update app yangu. Nikienda play store nakuta hakuna updates zozote yaani app...
2 Reactions
3 Replies
166 Views
Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo...
2 Reactions
2 Replies
221 Views
Nawaona mnavyochukiana mitaani na hapa JF kisa dini, nacheka sana. Hivi mnatambua ninyi ni MAFALA WASIOJITAMBUA? 😂 Yaani unamchukia ndugu yako, jirani yako, au mbongo mwenzako kisa tu mmoja...
5 Reactions
17 Replies
326 Views
Rafiki yangu yani best man, tulikua mkoa flani, hivi kusini MWA bongo, JAMAA qlikuwaga na DEMU wake HUKO KANDA ya ZIWA, akanitonya kuwa DEMU wake kamaliza CHUO HIVO kaona amlete HAPO mkoa tulipo...
5 Reactions
12 Replies
459 Views
Back
Top Bottom