Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Asalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh! Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye...
0 Reactions
5 Replies
194 Views
Baada ya October 29 kwa kweli watu hawana tena mzuka na mpira. Nipo kwenye group lina watu 237 si jana, juzi wala leo watu hawajapost habari za mpira. Ni muda sasa hizi teams zinacheza hakuna...
2 Reactions
6 Replies
206 Views
HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
👉Wanafunzi wengi nchini hasa kutoka kaya masikini hujiunga chuo kikuu Cha Dodoma UDOM sababu ya ada nafuu na ukubwa wa chuo hiki, japo asilimia kubwa gharama za maisha Jijini Dodoma kuwa juu...
0 Reactions
3 Replies
299 Views
Wakati Waziri Mkuu Mwigulu alipotoa Kauli ya kwamba anaon namba E za magari zimejaa mjini na kuashiria kuimarika Kwa bipato na Uchumi wa watu ,Kuna watu wanaopenda kuona Nchi inaanguka walimbeza...
0 Reactions
6 Replies
236 Views
Ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania unatoa pongezi za dhati Kwa Wakili Onesmo Olengurumwa kwa kutajwa kuwa miongoni mwa wagombea bora duniani katika nafasi ya Mshauri Maalum wa Umoja wa...
3 Reactions
2 Replies
161 Views
1.Dar 2.Zanzibar (Mjini Magharibi) 3.Mwanza 4.Geita 5.Mbeya 6.Arusha 7.Dodoma 8.Iringa 9.Kagera 10.Tanga. My Take Mikoa mingine endeleeni kulima na kufunga ng'ombe...
0 Reactions
11 Replies
806 Views
Anonymous
Hizi ajira zao zilitangazwa mnamo mwaka jana mwezi wa nane (Agosti 2024) mpaka kufikia leo mchakato wake haujakamilika. Tukiangalia taasisi kama Tanapa, Uhamiaji, Polisi pamoja na Magereza...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi ambapo sasa itakuwa ni Sh358,322 kutoka Sh275,060 ikiwa ni...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua. Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na...
9 Reactions
25 Replies
503 Views
Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya...
0 Reactions
6 Replies
302 Views
Inashangaza sana nimejaribu kuangalia lile Bonge (bunge) la ile inchi ya kusadikika yaani hakuna anayeongea la maana hata moja , kunzia mwanzo hadi mwisho jitu linamsifia Killer in chief tu...
4 Reactions
11 Replies
285 Views
Tusipende kuchukulia poa maisha tena maisha haya yakibongo kisa tu mshangazi wako au sponsor wako umekula hela zake wee sasa umejipatia platform na mic ya kuzungumza ndio uanze kuropoka ropoka...
1 Reactions
2 Replies
163 Views
Jina la Quran na Biblia tumetohoa toka lugha zake za asili. Ni kawaida kwa mambo haya ya lugha. Jee Kwa kiswahili hivyo vitabu vinatafsiriwaje. Neno Biblia na Quran kwa kiswahili ni nini?
1 Reactions
9 Replies
277 Views
"Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka...
2 Reactions
7 Replies
461 Views
Napenda kushirikisha hali halisi inayowakumba wananchi kwa sasa kuhusu huduma ya uzazi wa mpango – hususan kupandikiza kijiti (implant) katika hospitali za serikali. Mke wangu alifika hospitali...
11 Reactions
58 Replies
931 Views
Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau...
1 Reactions
2 Replies
307 Views
Mzazi au mlezi, je unajisikia maumivu kuona mtoto wako: Hajasoma wala kuandika vizuri? Anapata tabu kuelewa masomo darasani? Anashuka darasani licha ya juhudi zako zote? Anaogopa masomo au hana...
2 Reactions
2 Replies
184 Views
Baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi wengi kudai kuwa vitambulisho vyao vya NIDA vimefutika, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ilijitokeza kujibu kuwa changamoto hiyo imetokana na...
1 Reactions
1 Replies
311 Views
Back
Top Bottom