Japo mimi ni muumini katika uwepo wa Mungu, ila huwa sina uwezo wa kudhirisha huo uwepo wake, na kwavile sina uwezo huo, siwezi kulazimisha mtu aabudu katika Mungu ambaye sina uwezo wa...
Pichani ni ndugu yangu mwanafunzi wa kidato cha pili. Alitoroka nyumbani siku ya alihamisi tarehe 22 /1.
Kwa hiyo naomba msaada kwa atakae muona. Anaishi mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai kata ya...
Habari Tanzania !
Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu.
Karibu.
Y = C + S ni sawa na kusema;
Y= C+ I
Hii maana yake;
Y = Income/...
Kwa miaka mingi, China imekuwa ikitoa mikopo mingi kwa nchi zinazoendelea, ikiwemo nchi nyingi za Afrika. Hata hivyo, katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, hali hii imeanza kubadilika. Sasa...
1. Kuuza dhahabu yote is a bad move, kwa sababu mataifa yoye makubwa sasa hivi yananunua dhahabu kwa kasi kubwa kwa sababu ya kupotea thamani kwa fiat currency (pesa za karatasi). US ambae ni...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani, Petro Magoti ametoa kauli kadhaa kuhusu matukio ya uhalifu kama yalivyoripotiwa na Wananchi mbalimbali kupitia JamiiForums.com akisema kuwa “Mzee wa Show...
Katika shule ya sekondari Bakoba iliyopo kata Bakoba Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera imekuwa na utaratibu wa kuaagiza wanafunzi wote karatasi za Rimu kuripoti nazo kila mwezi Januari kama ilivyo...
Nikiwa kama mmoja wa waratibu wa Klabu za waandishi wa Habari Tanzania tuliyokuwa tunafanya kazi na UTPC tunaomba kupaza saut zetu ili tusaidiwe kupata haki yetu.
Tumekaa bila mshahara tangu...
Mtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga
Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike
Je...
Moja ya kero kubwa iliyopo katika maeneo yetu ni suala la pombe kuuzwa kwenye maduka ya vyakula. Haijulikani ni vigezo gani mamlaka husika zimezingatia kuruhusu hali hii, jambo ambalo limeanza...
Jana nipo Kariakoo nikaagiza maji nikaletewa maji haya muuzaji akinambia yanaitwa “Mshangazi” ikabidi nicheke.
Nikaambiwa wengine wanayaita “Bonge la Dada”
Mchina kaja na maji mengi kwa bei...
Wakuu Habari ya Muda huu nimekuja na mada hii lengo ni kupeana ushauri jinsi ya kupambana na bosi mkorofi.
Naanza mimi nipo chini ya bosi mmoja hivi ufanyaji wetu wa kazi huanzia Jumatatu mpaka...
System na matrix haijaandaliwa ifatane na spidi yako
Thus👇
ishinde aibu.
Malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa kwa hio kuwa ruthless na aggressive
Ishinde nia ya kupenda kusubiria vitu kisa una...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imezindua rasmi mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Likuyufusi–Mkenda, sehemu ya Likuyufusi–Mkayukayu yenye urefu wa...
Habari za mida hii wakuu natumai mko salama
Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔
Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto
Ya Mungu mengi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.