Mtakuwa mmesahau!
1. Enzi zetu hizo, sio Zama zenu hizi Gen Z za kukata mayeno na kujirekodi. Au mwanaume kuchambana na kusutana kama wanawake.
2. Enzi hizo Sisi tulikuwa tunaitwa MAFATAKI...
Msiogope lugha wakuu,
English laini kama hii
Twelve-step programs such as Alcoholics Anonymous define insanity as “continuing the same behavior and expecting a different result.” It ain’t...
Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti...
Ubayd Allāh ibn Jahsh (عبيد الله بن جحش), ambaye alikuwa binamu wa Mtume Muhammad ﷺ.
Nitasimulia kwa ufupi historia yake halisi kama inavyopatikana katika vyanzo vya mapema vya Kiislamu
Jina...
Huyu nyoka ni adimu sana kuonekana hua ni nyoka wa kukulitea bahati kama akiwa duarani basi usimpige muache ataondoka mwenyewe ila akitoka duara hilo litatema mali kama nini utapata gramu za...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Kila mwaka kumekuwa na madai ya walimu kuchangia katika michango mbalimbali ya shughuli za kiserikali kwa ushurutishwaji hasa na wakurugenzi wa...
Kama inavyofahamika kwa wengi, kampuni nyingi za mabasi jijini Dodoma hutumia ofisi zao kama maeneo ya kusubiri usafiri au kushusha abiria. Hali hii huzifanya ofisi hizo kubeba jukumu la kuhudumia...
Chuo cha Arusha Tech kimekuwa kero kwa baadhi ya wanafunzi ambao licha ya kulipia hostel mpaka leo hawajapata chumba, na wamekuwa wakiwazungusha wanafunzi ambao mpaka leo wanahangaika kupata...
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?!
1. SAFARI YA VATICAN
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre...
1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame
2. Masai
3. Wakinga
4. Wangoni
5. Wajita
6. Wagogo
Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi...
Mkurugenzi wa Wasafi Media, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, ameipongeza Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari...
Njia 5 zitakazo Kufanya Uweze Kufanikiwa kiuchumi na Uweze Kua Napesa Nyingi.
1)Kufanya Kazi kwa Bidii
2)Kwenda kwa waganga
3)Kua mwaminifu
4)Kwenda kwa waganga
Kwanini waganga,Mganga...
Kufuatia tukio la mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Murieti Jijini Arusha, aitwae Daniel Jeremia (15), kutoweka nyumbani kwao January 26, 2026, nakuacha ujumbe unaosema kuwa...
Simu: 079 531 536 9
Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka.
Habari;
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya...
Ahadi za ujenzi wa miundombinu ya kisasa zilikuwa sehemu kubwa ya kampeni za uchaguzi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hata sasa hazina inatakwa kuuzwa ili kujenga miundombinu, pengine wanadhamira...
Zaidi ya watu 200 wamefariki kufuatia kuporomoka kwa mgodi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kwa mujibu wa mamlaka za waasi.
Mgodi huo uliopo katika mji wa Rubaya uliporomoka...