Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita?
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria...
Hili swali nimewahi kujiuliza na leo limeulizwa tena na lema pale X.
Rushwa na ufisadi kule China ni kosa la jinai linaloweza kukupelekea kunyongwa.
Lakini mchina yeye hutumia rushwa kama njia...
Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa...
Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi...
Kwa nini pamoja na Riba kuhesabiwa kama mojawapo ya madhambi makubwa katika Uislamu hata hivyo ni nadra sana kukuta inakemewa au waumini wakifanya jitihada yoyote kujiepusha nayo?
Ni mazingira...
Everything you experience in life—both internally and externally—is the result of how you have responded to a previous event.
for example;
Event: You are given a $400 bonus.
Response: You spend...
Nafikiri watu wafundishe dini zao wakiamini kuwa katika hizi dini kuna wanadamu na wanatumiwa na shetani, nimeona waislam wakiutukana sana Ukristo ila wanasahau matukio machafu ya Wadada kubakwa...
Sisi wananchi wa eneo la Kizimkazi wilaya ya Bagamoyo kata ya Mapinga mkoa wa Pwani kero yetu ni namna ambavyo kamanda wa polisi mkoa wa Pwani anapenda kutuingilia kwenye eneo ambalo sisi na...
Habari za jioni bw Aweso
Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo.
Kikawaida...
Dakika 90 za January zimetimia sijaona thread za.masingle Maza humu
Naona hii 2026 tutapumua tuzae tena tuchambwe
2025 masingle Maza humuu tuliteswa jamani .ilikuwa hata kupanua miguu tunaogopa...
Kuna pastor nimesikia leo amesema anakufa mwezi Februari.
Ni pastor maarufu sana.
Mbaya zaidi alimwambia mke wake mbele ya kanisa kwamba alimwambia Mungu tayari ameshaonyesha ni lini...
Habarini wapendwa za jioni
Nimeona tukumbushane kidogo
Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha
Hawa watoto watatu
Wote waliandika barua ..kwa wazazi...
Kuna akina Annabelle wengi sana kwa sasa tanzania. Kuna munch, glunch, kunch, brunch, dunch hawa wote wameunda kikundi chao kinaitwa annabelle.
Hiyo code ya Annabelle inamaanisha makaka poa...
Ilikuwa 2023 hivi kama sitakosea, manabii 2 vijana kutoka Marekani Lovy Elias mwenye asili ya Kongo na Passion Java mwenye asili ya Zimbabwe walikuja Tanzania kwa huduma.
Kwa muonekano wao...
Habari wanajamvi...
Kwamuda wa mwaka na miezi kadhaa,nimekuwa nasumbuliwa na wezi kuiba kwenye sehemu ninapofanyia shughuli zangu za uzalishaji wa kipato cha kila leo.
Ninafanya shuguhuli za...
Hawa wachambuzi wako TikTok huko, wakianza kuichambua USA unaweza ukaamini uchumi wa USA ni dhaifu sana na soon mchina ana take over.
Lakini hali ni tofauti kabisa. USA ni watu hatari linapokuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.