Jeshi la Zimamoto lina jukumu la kuokoa maisha na mali. Lakini kwa muda sasa, kumekuwa na tabia ya baadhi ya maafisa kujihusisha na utapeli na rushwa wakiwa na sare rasmi za zimamoto na wengine...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Tone Tinnes na kufanya mazungumzo ya...
HIVI OC-CID MAFWELE NI NANI? WENYE DATA ZIMWAGENI HAPA
Kwa mtu ambaye ni mkazi wa jiji la Arusha na viunga vyake nadhani atakuwa anamjua vizuri mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha,OC-CID Faustine...
Kuna kuchunguza na kugundua tunakwamishwa na nini(koboresha na kurekebisha hali hiyo), na kunakuaanza upya(mchakato wa katiba mpya)
Kuanza upya(mchakato wa katiba mpya) sio suruhisho la vikwazo...
KIJANA ANASWA AKIBA SADAKA KANISANI KWA KUTUMIA GUNDI KWENYE KIJITI JIJINI NAIROBI
Mtaa wa Githurai 45 ulijaa kicheko na mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Kevo’ kunaswa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22)...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewatahadharisha Watanzania juu ya ukopeshaji wa fedha usio rasmi, maarufu kama "Kausha Damu," akitaja kuwa ni mfumo wa kinyonyaji unaowadumaza...
Katika zama hizi hamasa ya kutoa elimu juu ya maradhi/gonjwa hatari la ukimwi haitolewi mashuleni. Jambo hili linapelekea watoto kushindwa kujiepusha na njia hatarishi za maambukizi ya ukimwi...
Hii kampuni ilikuwa ya kwanza kuingia tanzania
Baada ya muda wakaja bolt lakini kabla ya hapo ilisemekana wameweka maagizo akiruhusiwa mwingine wanaondoka
Hata hivyo inaonekana mawazo yao...
Rais wa Kosovo ambaye ni muislamu kaudhalilisha uislam kwa kutovaa ushungi ama hijab.
Hii haileti picha nzuri kwenye umma wa uislam na mafundisho ya kiislamu.
Ikumbukwe Kosovo, Bosnia na Albania...
Niaje? Mtaani Hali kugumu deile kila kukicha unasema afdhali ya Jana wapambanaji tusichoke kupambana life ni gumu balaa, wana ndo tunasota nao tukipeana mahope siku Moja tukatoka tu🙏😔naamini Hilo...
Wakuu,
Leo nimenunua maandazi na karatasi/kifungashio nilipewa ni form ya mtu aliyeenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa kitu, maarufu kama Loss Report. Ambapo muhusika alienda kuripoti...
Eti, "Nyeto ndo imekufanya upungukiwe na nguvu za kiume", by Dr Ndodi.
"Nilikuchiti kwa sababu shetani kanipitia", by my wife Lucha.
"Hakuna watu waliouawa tarehe 29 October 2025, ile ni AI"...
Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige...
Baadhi ya makundi ya Kikristo na madhehebu kadhaa yanadaiwa kuwa yaliundwa au kuathiriwa na Wamasuni (Freemasons) na Illuminati. Kupitia hilo, inasemekana waliweza kujumuika ndani ya Ukristo huku...
JFs Members uzima upo?
Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja.
Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha
Hii naongelea experience yangu
Nilipongenzwa kwa...
Ni nchi gani duniani ambayo maendeleo yake yanahusishwa moja kwa Moja na ufuasi wa dini fulani?
Nchi ambayo tunaweza kusema pasina shaka kuwa, kutokana na wao kufuata dini fulani ndiyo maana...
Kila siku najiuliza nini hawa warabu wanachokitafuta maana kila siku waonikuchinja makondoo mimbuzi, wana agenda gani, maana sahivi kinamama huwakosi kwenye haya machinjo unakuta kuanzia asbh...
Yuko wapi ? Je bado ni mbunge ? Imebidi kuomba kumfahamu zaidi , maana tetesi zinaonyesha kwamba kuna ndugu yake alidakwa na sembe pale AIRPORT , je yeye mwenyewe hakuhusika ? Elimu yake sina haja...