Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za wakati huu wapendwa Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki. Ukienda kwenye...
107 Reactions
974 Replies
53K Views
Nimefika Mwanza jioni hii nikitokea Arusha. Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
5 Reactions
105 Replies
20K Views
Hello Wana jamiiforums? Ni jambo lisilopingika kwamba lugha ya Kiingereza ni lugha muhimu katika dunia ya leo, hasa kwenye elimu, ajira na mawasiliano ya kimataifa. Hata hivyo, hali inayojitokeza...
3 Reactions
4 Replies
303 Views
Assalamualaikum ndugu yangu. Natarajia kufunga ndoa ya kiislamu mwezi 5 inshallah wenye uzoefu gharama zake zipoje nipo dar es salaam pia kama unauza Michele jumla nikupe tenda. Je, shughuli...
4 Reactions
26 Replies
427 Views
Women have a certain bad feeling towards pedestrians. It takes a lot of maturity for her to date a pedestrian. Without a car and money, you can only date people that know you. For example 1...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Pombe kweli haina kalenda 😂 Nilisema “nakunywa mbili tu, kesho ninaamka mapema.” Zile “mbili” zikawa 3, zikawa, 4, zikawa 6 asubuhi: Alarm inalia → nainyamazisha kwa hasira Kichwa kinapiga...
6 Reactions
12 Replies
369 Views
Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi. 1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama...
4 Reactions
10 Replies
309 Views
Na Mwandishi Wetu, Manyara. SERIKALI imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa kusambaza umeme katika vitongoji 267 vya Mkoa wa Manyara kwa gharama ya Shilingi bilioni 45.8 kupitia Wakala wa Nishati...
2 Reactions
2 Replies
114 Views
📍 – Bunju “B” Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku. Tatizo kubwa ni: Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya...
3 Reactions
1 Replies
340 Views
Kwa mujibu wa Utafiti wa Demografia na Afya – Tanzania (TDHS 2022), kiwango cha ukeketaji kimepungua kutoka asilimia 10 mwaka 2015/16 hadi asilimia 8 mwaka 2022 miongoni mwa wanawake wenye umri wa...
2 Reactions
1 Replies
159 Views
Walevi wa mwanza kuweni macho acheni kubeba kila mwanamke bar kwa kuwa ana makalio makubwa. Kisa kifupi nlichosimuliwa na kijana tuliekutana mlango wa kutokea lodge mwanza. Nimetoka zangu safari...
4 Reactions
8 Replies
410 Views
DODOMA; SERIKALI imesema Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi, unatarajia kuhamisha nyumba zaidi ya 3,000 na hadi sasa nyumba 2,500 zimeshalipwa fidia na kuhama eneo la mradi. - Naibu Waziri Ofisi ya...
3 Reactions
1 Replies
236 Views
Naileta mada hii kutokana na mwenzetu mmoja ambaye tulijadiliana naye! Hivyo naomba pia niwashirikishe nanyi kwakuwa pengine na kwa vyovyote wahitaji wapo Tunapokuwa wakubwa na kujitambua huwa...
15 Reactions
37 Replies
1K Views
Bila shaka ni Karne ya 18 au mapema ya Karne ya 19 Huyu babu mkubwa alikuwa anajiona mjanja sana anashinda kajificha kwenye mwembe. Alikuwa anajificha Ili asikamatwe na wazungu na badae kufanywa...
7 Reactions
23 Replies
390 Views
Madereva wa bajaji wamefunga stendi ya Nyegezi, jijini Mwanza, hali iliyosababisha kusitishwa kwa shughuli za usafiri ambapo hakuna gari linaloingia wala kutoka. Tukio hili limetokea baada ya...
6 Reactions
3 Replies
183 Views
Ndugu wasomaji Nikisikitika kupata habari kwamba saivi city council ya dar es salaam wanahitaji mwagizaji mzigo yaani mwenye container aende ofisi za city kujulisha kwamba container yao inatoka...
1 Reactions
2 Replies
180 Views
Mm ni mkristo kidini lakini kiasi flan navutiwa sana na dini za wahindi, Nimesoma vitabu kadhaa vya dini za kihindi japo vipo vingi huezi maliza vyote, lakini hivi ndo baadhi THE VEDAS, GURU...
3 Reactions
14 Replies
321 Views
Ikiwa ni jitihada za kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kwa Kushirikiana na hospitali ya Aga Khan Tanzania zimesaini makubaliano ya kushirikiana katika...
1 Reactions
1 Replies
192 Views
Niko Mbeya washikadau pande za Iyunga hapa karibu na stesheni ya Tazara Katika tembea tembea zangu huku Mbeya nilibahatika kupita maeneo kama vile Mwanjelwa, Airport , Inyara , Tukuyu, Chunya ...
6 Reactions
75 Replies
5K Views
Wakuu unaposoma tu weweunadhani lilikuwa jambo rahisi sana .........soma kwanza Mwanzo 22:1Ikawa baada ya mambo hayo Mungu alimjaribu Ibrahimu, akamwambia, Ee Ibrahimu! Naye akasema, Mimi hapa. 2...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom