Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza.
Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa...
silaha za nyuklua ni silaha hatar sanaa ndio maana usa hatak watu wawe nazo maana inawezekana ikawa ndio kiama chenyewe kinachozungumziwa kwenye vitabu vya dini
Bomu la nyuklia linaweza kulipuka...
Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha...
Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82...
Shambulizi la hivi karibuni nchini Pakistan limeweka tena wazi tatizo la muda mrefu la migogoro ya kimadhehebu ndani ya Uislamu.
Tawi la kundi linalojiita Dola la Kiislamu (IS) limedai kuhusika...
Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za...
https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS
Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili...
Kumekuwa na ubadilishwaji wa matumizi ya maeneo ya umma ya wazi kuwa maeneo ya shughuli za halmashauri.. Ni lini tutakuwa na mipango endelevu ya kulipanga jiji na kutokubadilisha matumizi ya...
Kwa tafiti ndogo niliyofanya,
Kimsingi kila ninapouliza mambo ya maana ni wachache sana angalau watachangia,
LAKINI
NItakapoulizia mambo ya kipuuzi kama Misambwanda na ute ute...lahaula...
Kwako Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Dr .Aaron Kagurumjuli , MADEREVA wa mkataba tumekuwa tunacheleweshewa mishahara kila mwezi hivo kupelekea kufanya kazi kwa mawazo,
Kazi yetu inahitaji kuwa...
Tunatambua tangu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025 yamesababisha usimamizi wa usafi na mazingira kuzorota, hofu ikiwa kwa Wanasiasa kuogopa lawama za Wananchi.
Hii imesababisha...
Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe.
Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh...
Nasubiria kwa hamu sana Bitcoin ishuke hadi 50K USD ninunue za kutosha kama Bitcoin 200 hivi.
Nina budget ya 5 million USD.
Naombeni ushauri ninunue sasa hivi 73k ama nisubiri ishuke hadi 50K...
Wadogo zangu kama una mpango wa kufanya jambo aiseee lifanye mapema
ukianza kufika aged from 35 haki ya nani unaanza kujilaumu mwenyewe polepole
Sisi ma braza wenu saivi wengi tumeanza kujuta...
Guys kwema
Leo nimekua disappointed sana asee,kumbe sie wengine tunapigwa na jua hapa mjini kumbe Kuna vijana mpo magetini mnafinya computer na. Simu tu then mnapata pesa?
Haya tusanueni🙏
Wakuu kwema rejea habari hapo juu, ndivyo ilivyo kuna code amenipa Mungu siwezi zitoa hapa maana nikizitoa wachungaji na manabii uchwara watazichukua na kunena watakayo.
Nimeoneshwa mtu ajiitae...
Chei Chei Waungwana
Muna Habari Yoyote Kuwa Shkuba Yupo Huru ?
Kwa Taarifa zilizonifikia wakati huu kuwa Tajiri Shkuba kamaliza kifungo chake cha miaka minne na sasa yupo huru na yupo nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.