Nipo tiyari kueleweshwa zaidi.
Kwanza tuanze na mwanzo Mwanzo 3:8-9
[8]Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti...
Zamani, makombora mengi ya Iran yalitegemea GPS ya Marekani, ambapo Marekani aliweza kuizima au kuivuruga (jamming) wakati wa vita.
Iran sasa imehamishia mifumo yake ya kijeshi kwenye mfumo wa...
Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao...
Wakazi wa maeneo ya IPOIPO kuelekea Kihonda Sekondari tunaendelea kupata adha kubwa kutokana na hali mbaya ya barabara hii.
Mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya zaidi — magari, bajaji na pikipiki...
EWURA imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi wa Machi 2026 kuanzia leo, Machi 4, 2026.
Bei hizi zimepanda kutokana na ongezeko la bei za mafuta kwenye soko la dunia na gharama za usafirishaji...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesogeza huduma za kibingwa na kibobezi kwa wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Kongamano la Pili la Wanawake wa shirika...
Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy...
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for...
Nimepita hii ya Morogoro mjini kwenda Malinyi ni mwendo wa kutwa nzima kwa gari.
Nadhani hii ni moja ya ruti ndefu inayopatikana Tanzania ndani ya mkoa mmoja.
Ruti gani ndefu zaidi ndani ya mkoa...
Video hii imerekodiwa katika eneo la Sinza Afrikasana Jijini Dar es salaam ikionesha usumbufu wanaoupata wapita njia pamoja na magari na kuathiri shughuli za kila siku baada ya maji kujaa katika...
KANISA la Waadventista wa Sabato limetangaza uchunguzi wa wazi kuhusu shughuli za biashara ya fedha za kidijitali (crypto-trading) ambapo baadhi ya waumini nchini Kenya walipoteza mamilioni ya...
Ili kusulubiwa kwa Yesu kuaminike, ni lazima kuondoa uwezekano wa matukio mengine yote na hili hapa ni mojawapo:*
Simoni alilibeba msalaba lakini hakumrudishia Yesu.
Yeyote aliyesulubiwa...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kati ya mwezi Septemba na Oktoba 2025, imekamata jumla ya kilogramu 10,763.94 za aina mbalimbali za dawa za kulevya, pamoja na...
"The sad truth is that some of the most important innovations in human history were born during wars. From the Internet and modern airplanes to life saving medicines like penicillin and a...
Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza...
Tangu Marekani ilipotumia mabomu ya nyuklia kuishambukia miji ya Hiroshima na Nagasaki huko Japan, viongozi wa mataifa makubwa waliweka wazi kwamba hawataki silaha hizo zitumike TENA!.
Lakini...
November 2023, Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote (Na. 13 ya 2023) ilisainiwa rasmi, ikielezwa kuwa inalenga kuhakikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa kila mwananchi nchini Tanzania. Hatua hiyo...
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akipokea moja ya tuzo mbili kutoka kwa Makamu wa Rais Mwandamizi – Meneja wa Nchi, Afrika Mashariki na Visiwa vya Bahari ya Hindi...
Kwa sasa waliokufa mo29 hawana mtetezi tena, kwasasa watu wamehama kabisa, wengiwao kwasasa wanawatetea watoto wa shule wa iran na kiongozi wao alieuliwa.
Kila muandishi wa habari kawa mchambuzi...
Nimeiona pahali Fulani Nini Maoni Yako mwana JF??
ELIMU YETU
Leo tumeanza mitihani hapa chuoni. Kitu kimoja kuhusu elimu ya Tanzania kinanijua akilini wakati naamka kuwahi saa 12 niwe ofisini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.