Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwani hii kada imelaaniwa? Yan waliopo kwenye ajira wanaafadhali ya akil kidogo kuliko hawa jobless, wengi ni wapumbavu grade A. Hawa watu kujifunza mambo mapya kwao ni kama kula nguruwe kwa...
6 Reactions
24 Replies
564 Views
Yaani kuna takwimu watu wa kanda ya ziwa lazima wawepo tu yaani watu wa kanda wao choo ni kama paka na panya sijui kwanini wanapenda kujisaidia porini hawa watu sijui kiufupi usitaarabu kanda ya...
9 Reactions
200 Replies
2K Views
Ripoti ya BBC World Service inasimulia kisa cha mwanaume aliyepewa jina la “Eric” (si jina lake halisi), ambaye mwaka 2023 aligundua kwa mshtuko kuwa video ya ngono aliyokuwa akitazama mtandaoni...
2 Reactions
14 Replies
679 Views
POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
36 Reactions
268 Replies
14K Views
Kampuni ya CUSNA Investment Limited imetoa msaada wa magongo 100 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kusaidia makundi mbali mbali ya wahitaji...
1 Reactions
2 Replies
154 Views
Ukiongelea taaluma ya Computer LAZIMA ujue kuandika lugha ya Computer (coding). Hiki chuo cha UDSM nina wasiwasi kila kitu wanafundisha nadharia tu (theory) hata katika taalum ambazo tunategenea...
19 Reactions
154 Replies
6K Views
Anonymous (a103)
Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Anonymous (a103)
Kero yangu ni kucheleweshwa kwa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Alinato mpaka Posta inayojengwa na kampuni ya CRJE. Imefika miezi mitatu sasa haijafanyiwa marekebisho tangu walivyoichimbua...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Hawa jamaa ni very conservative, slow, backward and premitive institution. Upande wa customer care ni wabovu na wameoza. Unaweza kuweka hela zako vizuri kabisa ila kuzitoa sasa utazungushwa kama...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Anonymous (a103)
Mimi ni Mwananchi wa Wilaya ya Mbeya Vijijini nina kero ambayo inatutesa sana wakazi wa huku. Kero kubwa iliyopo ni ubovu wa barabara ya kutokea Mbalizi, hadi Iwiji ambapo inapita Isangati...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Anonymous
Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
WAZIRI MKUU, Mwigulu Nchemba amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika kwa njia...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Kwa imani mbingu IPO. Lakini mbingu ni jambo lililojaa utata mtupu. Mbinguni tunakwenda baada tu ya kufa ama tutakwenda baada ya ufufuo siku ya kiama. Na jee tutakwenda na miili yetu hii au...
3 Reactions
8 Replies
224 Views
Wadau na wakazi wa Mbezi Makabe naomba kufahamu hadhi ya makazi ya maeneo haya, je kumepimwa? Kuna lami? Kuna biashara ya nyumba za kupanda na guest au lodge? PIA NAOMBA KUFAHAMU BEI YA VIWANJA...
1 Reactions
91 Replies
14K Views
Mtu atajilikana kuwa ni kichaa kwa mavazi, muonekano wa sura yake au kauli zake. Ila 90% uendawazimu wa mtu hupimwa kwa maneno yake. Huku 10% tu ndio tutampima mtu kwa mavazi, nywele na...
0 Reactions
6 Replies
175 Views
jamani kuna beliefs zingine zina gon'gana na logic and reasoning za binaadam ambazo zikikosa logical reasoning zinaitwa "dogma" believing without applying reasoning and logic.
8 Reactions
187 Replies
2K Views
Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K...
10 Reactions
45 Replies
621 Views
Ujenzi wa barabara ya Ali H. Mwinyi eneo hili la Mbuyuni, Ada Estate, Kinondoni umeathiri miundombinu ya maji taka. Bomba la maji taka linamwaga maji hapa jirani na Gudal Petro Station zaidi ya...
2 Reactions
0 Replies
87 Views
Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wapendwa Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki. Ukienda kwenye...
107 Reactions
974 Replies
53K Views
Back
Top Bottom