Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilipokua Mkoa X Mwaka Z, ghafla tu nikaanza kuumwa ugonjwa fulani siuelewi ulipotokea mpaka nikaanza kuhisi labda nishapigwa kipapai au namna gani vile maana ule Mkoa unasifika kwa hayo masuala...
5 Reactions
26 Replies
783 Views
Nani anayeuendesha Ulimwengu? Ulimwengu tunaoishi si ule tunaoaminishwa kuuona kupitia skrini za runinga au kurasa za magazeti. Nyuma ya pazia la siasa, uchumi, na burudani, kuna mfumo uliopangwa...
5 Reactions
33 Replies
649 Views
"Nabii" ni neno la Kiswahili lenye maana ya mjumbe au msemaji kwa niaba ya Mungu Chalamila anamuweka samia kundi moja na watu kama Yohana Mbatizaji na wakina Musa. Hapa ndio wanaosema hakuna...
1 Reactions
7 Replies
317 Views
R.I.P my brother Ayatollah, Baada ya Osama Bin Laden na Saddam Hussein kuuawa mtu pekee ambaye nilikuwa namhusudu alikuwa Ayatollah. Baada ya kusikia kifo Cha Ayatollah nimepoteza nililia sana...
7 Reactions
37 Replies
620 Views
Wale wakwepa kodi kutoka Ulaya waliokimbilia Dubei na falme za kiarabu kwa ujumla wanaonja maumivu ya maisha baada ya Iran kushusha mabomu. Walikimbilia Dubei na kuhamishia makazi yao huko...
1 Reactions
3 Replies
201 Views
Hili tatizo limekua sugu na la muda mrefu. Tabora tunatumia maji ya vyanzo tofauti. Kuna maji ya mradi wa ziwa Victoria na maji yanayotoka bwawa la Igombe. Sasa haya maji yanayotoka bwawa la...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana...
24 Reactions
114 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Prof.Riziki Shemdoe, amewaelekeza Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri kuanza maandalizi ya mapema kwa...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Business first,then pleasure, Kurukaruka kibiashara kutakufanya uchelewe kuona mafanikio yako. unafanya busness ya hardware unakutana na rafiki ako anakwambia biashara ya madini,kuuza...
4 Reactions
10 Replies
151 Views
Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imezidi kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kufungua dawati maalum la huduma kwa...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Baadhi ya wafanyabiashara wa biashara ndogondogo (machinga) waliokuwa wakifanyia shughuli zao katika maeneo yasiyo rafiki, hususan barabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu, wameanza kupisha...
2 Reactions
5 Replies
369 Views
Kabla ujatafuta pesa , Mtafute Kwanza Mungu(creator) , atakupa njia za pesa ambazo huta tumia nguvu, kuchosha roho yako kuzipata.Kwa nini umtafute Mungu, Mungu anakupa hekima, Maarifa, amani...
2 Reactions
2 Replies
270 Views
Usisahau kubeba angalao matunda ,chakula, juice/maji kwaajili ya hao wagonjwa. Kuna watu wanaumwa sio poa aise.
6 Reactions
2 Replies
106 Views
Nimeangalia wale waliouwawa 29 October na hawa askari wauaji, na kutambua kwamba risasi walizotumia askari wauaji ni aina ya risasi ambazo hata katika vita sheria za kimataifa zinakataza kutumia...
11 Reactions
33 Replies
766 Views
SIFA KUU TANO ZA MTU MASKINI AU UTAKUWA MASKINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Umaskini ni kama nguo. Yes ni Vazi ambalo mtu huamua kulivaa au pengine huweza kuvalishwa. Lakini asilimia...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
EPISODE 01, SEASON 01 Wakuu nahitaji ushauri wenu ili niweze kufaulu katika huu mtihani, nimepewa kazi kubwa ambayo nikifaulu basi milango mingi itafunguka huko mbeleni. Kuna Mzee flani huwa...
98 Reactions
4K Replies
796K Views
Habari wanajukwaa UTT-AMIS kwanza nawapongeza kwa kazi nzuri sana mbarikiwe angalau kuanzia miaka 10 mbele hakutakua na stress za kustaafu Dhumuni Sasa UTT-Amis wekeni mfumo ule kama wa...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
  • Redirect
Mwandishi Paschal Mayala amepewa masaa 24 kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI kinachorushwa na Jambo Television kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Mwandishi Paschal Mayala amepewa masaa 24 kuthibitisha kauli yake aliyoitoa kwenye kipindi cha JAMBO ASUBUHI kinachorushwa na Jambo Television kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom