Serikali imesema matumizi ya kidijiti ya Mfumo wa e-Ardhi yamelenga kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za ardhi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu.
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa...
Kesi ya uhaini inayomkabili
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo, ljumaa Septemba 18, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ikiwa ni mendelezo wa hatua ya...
Wakuu nimejikuta kwenye mtatizo wakati nikielezea kitu, imenibidi nikubali kuwa akiba yangu ya misamiati haitoshi kutoa maelezo.
Kuna hivi vishika mkanda kwenye suruali, Vinaitwaje? Je kuna jina...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema tuzo za tafiti na gunduzi katika maeneo ya ubunifu, sayansi, kilimo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia...
Matatizo yanayowasibu raia wengi na yanayohitaji Viongozi kuyashughulikia badala ya kushughulika na Lissu, Heche na CHADEMA kwa ujumla
1.Gharama za maisha, Bei za baadhi ya bidhaa na huduma...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi sababu za serikali ya Tanzania kupitia wizara kuendelea kujenga viwanja vya...
Licha ya ukubwa wa stendi ya Magufuli Mbezi na kuwa imejengwa miaka ya hivi karibuni jambo ambalo lingeifanya iwe stendi ya kisasa bado nimegundua hakuna kabisa maeneo maalumu kwaajili ya abiria...
https://www.youtube.com/watch?v=4-CwMyWk3wk
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekiri kwamba Jiji hilo ni chafu, akisema Viongozi walijisahau kwa muda katika suala la usafi...
Ukilitaja jina Tabora Boys, kwa mtu aliyewahi kusoma Tanzania ya zamani, huwezi kuwa umetaja shule kama shule nyingine, umetaja historia, umetaja nidhamu, umetaja viongozi, umetaja akili za...
⭕⭕ Ulishawahi kujiona kama upo sawa halafu unaowaona watu wakikouona haupo sawa?. Ulishawahi kujiona kama unachukiwa hivi ingawa wewe unaona kama unawapenda watu wanaokuchukia?. Majibu ya maswali...
Serikali imefanikisha kazi ya kuchimba visima 10 mkoani Singida kwa kutumia wataalam wazawa na mitambo ya Serikali.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) kufuatia kazi hiyo amemkabidhi mkandarasi...
Na Mwandishi wetu
JACOB COXON NA SAFARI YA ANI, AGI NA ASI
Hebu fikiria mhandisi aliyesaidia kujenga gari la kasi kubwa sana, kisha anashuka na kusema, "Sina uhakika breki zake zitafanya kazi."...
Maisha ya kuangalia Jamii inasema nini?, Dini inasema nini? Elimu inasema nini ni maisha ya kitumwa na yaliyojaa ushindani, hofu na mashaka. Ni maisha yanayolipa suala la kushindwa kipaumbele...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wanafunzi na wahitimu wa Vyuo Vikuu Nchini kuanzisha, kujiunga na kurasimisha vikundi vyao vya ujasiriamali ili kuongeza uwezo wa...
Watu thelathini na saba walioshutumiwa kwa uchimbaji madini haramu kaskazini-magharibi mwa Nigeria wamefariki wakiwa kizuizini, maafisa wa eneo hilo wanasema.
Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu...
Leo nitasema kuhusu ubatizo.
Wakiristo wote duniani wanaamini kwamba,kubatizwa ni moja ya mafundisho ya Yesu. Ukweli ni Yesu alibatizwa (kwa maji ) na Yohana (mtume) na sababu ya kubatizwa ni...