Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 246
- 149
Serikali imesema matumizi ya kidijiti ya Mfumo wa e-Ardhi yamelenga kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za ardhi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu.
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro, Rehema Mdee amesema hayo wakati akizungumza na Radio Kicheko Live kuhusu namna mifumo ya kidijiti inavyotanzua changamoto za wananchi na kurahisisha utoaji wa huduma.