Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia.
The...
Kama hizi mbinu zote mmefeli
CHADEMA ni dude kubwa
1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja
2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia
3.Framing>Kueleza...
Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana,
Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri...
Habari JF,
Baada ya kuchimba, nimegundua vita ya anga sio tena Marekani vs Urusi tu. Kila mtu ana mipango yake na kila mmoja ana sehemu anapolia. Hapa muhtasari:
1. MAREKANI & ISRAEL: Mfalme...
Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi?
Vipi wale watoto wakike mliokuwa mnawala uroda kule na kuwabebesha mimba mmewasaidia au...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkoa unaandaa utaratibu mpya wa kuwapanga na kuwatambua wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo kwa kuzingatia ukubwa na aina ya biashara...
Maisha yanatufundisha kwamba mara nyingi hatujui thamani ya kitu mpaka tunapokaribia kukipoteza.
Tunapokuwa nacho, tunakichukulia kawaida. Tunakitumia bila kufikiria kesho. Lakini pale kinapoanza...
Mamlaka nchini Rwanda zimetangaza marufuku ya uvaaji wa mavazi mafupi kupindukia na yasiyo na staha katika maeneo ya umma pamoja na hafla mbalimbali nchini humo.
Hatua hiyo imechukuliwa hivi...
Mimi kwa kweli naona zama zimebadikika
Huwezi kutoboa kwa system yenye congestion namna hii
Naona private sector na waliojiajiri wanakula maisha kuliko wenye ajira.
Gharama za maisha zimezidi...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, pamoja...
Nimewasikia baadhi ya viongozi wa dini wakiandaa maombi ili Mungu aepushe madhara ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa neema hii na tujenge miundombinu...
Hello wana JF,
Bwana, mimi ni mteja wa muda mrefu wa hizi benki zetu, lakini kuna jambo nimekutana nalo hivi karibuni limenipa ukakasi sana. Najiuliza, tupo mwaka gani huu? Teknolojia imepiga...
Kuna maswali ambayo mwanadamu amekuwa akijiuliza tangu alipogundua uwezo wa kutafakari.
Tumetengeneza vyombo vya kwenda angani, tumegundua magonjwa, tumepanga ramani ya sehemu kubwa ya dunia na...
Mwanzoni nilikuwa na wazo la kutimkia huko MADAGASCAR, ila sasa nimebadili gia angani yaani ndege nimeipiga U-TURN.
Maana naona kukaa bongo ni kama nimechoka maana madrama kila kona.
Ukipanga...
Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo leo Septemba 18 imefafanua kuwa Waziri wake Paul Makonda anatarajiwa kuunda Kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za Taifa Stars ili kubaini...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa taarifa rasmi inayoeleza mabadiliko katika mfumo wa elimu ya msingi kwa wanafunzi wa shule nchini Tanzania.
Mabadiliko haya yanatekelezwa kwa mujibu...
Mnamo Desemba 7, 2022, nilifanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi kwa kununua shamba lililopo Kijiji cha Msufini Kidete, Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Ununuzi huu haukuwa wa...
Mwaka huu (2027) katika numerolojia inatawaliwa na namba 2 ambayo inatokana na utaratibu wa kujumilsha kila namba katika mwaka na kuhakikisha namba inabaki katika dijiti moja. Inakuwa hivi: 2027=...
Mwanamke mmoja nchini China, aliyetambulishwa kwa jina bandia la Xiaoli, alizua gumzo mtandaoni mwaka 2016 baada ya kuripotiwa kuwa aliwaomba kila mmoja wa wapenzi wake 20 kumnunulia simu aina ya...