Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi (kulia) akipokea kitabu kutoka kwa Katibu Mkuu wa Kituo cha Ufuatiliaji wa masuala ya Kaboni kutoka nchini Djibouti (ASCR), Mhe. Balozi...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Nguvumali mkoani Katavi, anaejulikana kwa jina la Aidan Ramadhani anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 42 hadi 43 ameuwa kikatili kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na...
Taharuki kubwa imetokea Machi 25, 2026 mkoani Tabora baada ya ndege ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoa wa Kigoma kwenda Tabora kudaiwa kuanguka pembeni mwa uwanja wa ndege wa Tabora huku watu...
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeadhimisha Siku ya Ukombozi ya Kusini mwa Afrika kwa shughuli mbalimbali zilizofanyika jijini Harare, Zimbabwe zikiwa na lengo...
Hili si la uchawi wala mambo ya kuwanga wala ushirikina wala majini
Wengi tunakutana na vituko vya hapa na pale majumbani mwetu na kudhani ni ushirikina au majini nk...umekaa sebuleni mara unaona...
Matangazo yenu yana ubora mdogo sana, ukilinganisha na uwekezaji mkubwa sana mlioufanya.
Matatizo makubwa ni haya:
1.Sauti ni tatizo kubwa sana. Kila taarifa ya habari ni lazima ina shida ya...
Nilikuwa siwaelewi watu waliokuwa wanasema Marekani iliivamia Iraq kwa sababu ya mafuta, huenda pia kwa sababu wao walikuwa wanaongelea uporaji wa mafuta kana kwamba makampuni ya Marekani...
Siingilii personal life na najua watu hasa hawa walioleft group wakiishi maisha yao hawani affect
Lakini moja ya vitu vya hovyo ambavyo hawa watu wanafanya ni kuandaa content ambazo ni very...
Katika hatua za maisha, karibu kila mtu hulazimika kuwa mpangaji katika makazi ya mtu mwingine kabla ya kujenga au kumiliki makazi yake mwenyewe. Kutokana na umuhimu mkubwa wa soko la makazi (real...
Kwahiyo Mtani wangu kutoka Mkoa wa Washamba wa Singida Waziri Mkuu Nchemba hapa ulikuwa hujui kuwa Mmoja wa aliokuwa akiwasema Waziri Makonda nawe umo?
Jeshi la Magereza limesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu yuko salama na afya yake ni njema.
Jeshi hilo limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye baadhi ya...
Habari wakuu,
Huwa napenda kutoa baadhi ya matukio ya maisha yangu ili kupata ushauri na pia kama rejea au funzo kwa watu wengine katika jamii au jf
Kuna kipindi nilikuja humu kuomba ushauri wa...
Nawajua wachache wa karibuni, wa zamani mtanisaidia kuwataja.
Mi namkumbuka Mzee Makamba nae alikuwa maarufu kwa hotuba zake za na uwezo wake wa kutumia vitabu vya dini
Mwengine ni William...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.