Averos
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 993
- 703
Nawajua wachache wa karibuni, wa zamani mtanisaidia kuwataja.
Mi namkumbuka Mzee Makamba nae alikuwa maarufu kwa hotuba zake za na uwezo wake wa kutumia vitabu vya dini
Mwengine ni William luluvi...huyu simkumuki kwa lolote...wazoefu watanambia
Mwengine namkumbuka ni Abbas Kandoro....kandoro...
Alikuwa na nywele nyeupe...
Mwengine ni Sadiki Meki...ambaye alikuwa Lindi akaja Dar then akaenda Kilimanjaro
Ni hao tu ninaowakumbuka