Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

SEHEMU YA 01: Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku damu nyingi zikiendelea...
23 Reactions
292 Replies
142K Views
Ni bonge moja la movie kwa mwaka huu 2023, nimeipa namba 1, nairudia mara zote nikiimiss. Wenzentu wanajua kuigiza na kuandaa movie, hilo halina ubishi. Huyo Sisu ni mwanaume mmoja hivi mtu mzima...
10 Reactions
97 Replies
9K Views
Kulingana na mtandao wa Spotify imetangaza wimbo wa “Champion Sound” wa mwanamuziki kutoka Nigeria David Adeleke (Davido) aliomshirikisha rapa kutokea South Africa Lethabo Sebetso (Focalistic)...
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Mimi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki! Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii...
12 Reactions
64 Replies
2K Views
Ladies and gentlemen, Tupia lyrics zako pendwa kweny comments, jina la nyimbo na performer wa hio nyimbo. Sio lyrics za nyimbo nzima, just kipande tuu unachokipenda ambacho hata ukiwa maybe...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
NJOO TUMSOME MIA KHALIFA Anaitwa Sarah Joe Chamoun mwenye asili ya kiarabu .Pua mchongoko , macho ya kuita na kimwili kidogo kidogo kinachoweza kubebeka, angekuwa bongo waswahili wangemwita...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ni wasanii gani unapendekeza watoe remix ya wimbo kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah. Wasanii watatu. Nani aimbe sehemu ya Mez B Nani aimbe sehemu ya Ray C Nani aimbe sehemu ya...
1 Reactions
13 Replies
601 Views
Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za haka karembo duuh, kasauti kana chombeza aisee. Huyu dada anae sauti.
2 Reactions
8 Replies
752 Views
Guys! Nostalgia is a real disease. Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu. Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon...
11 Reactions
55 Replies
3K Views
Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu. Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
4 Reactions
89 Replies
3K Views
Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi &...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwenye maneno yafuatayo weka:- Kisima = nchi. Mvua = shida/changamoto. Bwawani = ughaibuni. Maji = Mali za umma. Dada Rukia= 1. Mafisadi 2. Waarabu/mabeberu Kuvunjika ugoko= weka tafsiri yako
0 Reactions
3 Replies
433 Views
Kesho saa 4 kamili asubuhi mzingo mpya, episodes 3 za kwanza zinakua liva amazon prime
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Katika baa moja nchini Marekani aliingia mwanamme mmoja MZUNGU na kukuta bar ina watu wengi sana na imejaa WAZUNGU TUPU kasoro mmama mmoja ambaye alikuwa BLACK..yule jamaa baada ya kuingia akasema...
4 Reactions
3 Replies
657 Views
nimeitafuta sana lakini napataje hii series ya siri ya mtungi kama unafahamu website yeyote naweza pakua nifahamishe tafadhali Monday[emoji110]
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mdororo au anguko la HopHop Tz!? Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu". Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Sehemu ya Kwanza: Mkutano wa Hatima Kulikuwa na mji mkubwa uliokuwa ukijulikana kwa jina la Mji wa Furaha. Katika mji huu, tamaduni na mila mbalimbali zilijumuika na kufanya maisha kuwa na mvuto...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom