Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

"Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mshiko, Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu, Unamuita darling au wife mama mamito, Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hadithi ya Uongozi na Mamlaka Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii...
1 Reactions
1 Replies
789 Views
FINA MANGO NDANI YA POWER BREAK FAST CLOUDS FM. Fina Mango Mtangazaji wa Redio aliye Jipatia umaarufu mkubwa katika utangazaji kwa kupitia Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm.. Enzi hizo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Riwaya ya Kijasusi: SAUTI YAKE MASIKIONI MWANGU Mwandishi: KELVIN KAGAMBO Imeletwa Kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 “..... na sasa ni zamu yako. Sali sala za mwisho tufunge mkataba.” “Lakini...
6 Reactions
49 Replies
14K Views
Zingatia swali "Je ni mwimbaji gani wa kike ambaye anaweza kupamabanishwa na "Whitney Houston"?" na akaleta upinzani mkali. Unachotakiwa kufanya: - Taja jina la Mwimbaji husika na wimbo wake japo...
1 Reactions
3 Replies
378 Views
Habari za muda huu wadau wa JamiiForums!? Lengo la Uzi wangu nilikuwa nataka kusema kwamba kuna vitu huwezi kusema unavikubali ila nafsi yako itasema tu, Kuna wimbo Mmoja wa Ali kiba sijajua kama...
1 Reactions
1 Replies
588 Views
Huu ni wimbo ambao Marehemu LANGA aliifanya kipindi cha mwisho wa uhai wake Lakini haikuweza kutoka rasmi kwa mara ya kwanza niliusikia siku ya msiba wake pale kwao mikocheni Leo kwa mara...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
RIWAYA YA CONNECTION Mtunzi: Robert Heriel Mwaka 2024 Riwaya; CONNECTION Kazi hii itarushwa katika mitandao kwa akaunti hizi: Facebook: Robert Heriel Tz Jamii Forum: Robert Heriel Mtibeli...
4 Reactions
29 Replies
10K Views
MSANII MARIO NA ABBA MENEJA WAKE,MARA BAADA YA KUJICHUKULIA FEDHA KWA NJIA YA UTAPELI WAMEUKANA MKATABA HUU WA MAKUBALIANO NA KISMATY MEDIA
0 Reactions
3 Replies
967 Views
PHILIBERT KABAGO "Philibert kabago ni msanii wa kizazi kipya ambae masikani ama chimbuko lake ni kutokea jiji Mwanza, na ni sehemu ya Group members waliounda Crew ya " Boys with Voice" Crew ya...
1 Reactions
2 Replies
566 Views
Kama una muda na wewe ni mdau wa movie au series tazama hii series ya From ambayo kwasasa tupo Season 3. Ni moja ya tambala kali sana. Watu mbalimbali kwa nyakati tofauti wakiwa na magari yao...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mmemsikia King Kong lakini? Rapa Chidi Benz anadai kuwa staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz alisababisha wimbo wake upotee baada ya kuingiza chorus bila ridhaa yake na kisha kuutelekeza studio...
1 Reactions
5 Replies
760 Views
Niliuliza swali humu JF, Kwanini huyu msanii wetu mkubwa anaimba sana nyimbo za kuhamasisha ngono tena kinyume na maumbile. kwa wakati ule sikupata jibu, sasa jibu limepatikana, ila ninacho msii...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Baada Agosti 27, 2024 mahakama kutoa hukumu ya kesi tukio kuuawa kwa Milembe Maunga, na watuhumiwa watatu kukutwa na hatia, wakihukumiwa kunyongwa, kwa sasa napata fursa ya kulielezea tukio hilo...
25 Reactions
355 Replies
158K Views
Msanii Ashanti Anaitwa Ashanti Sheqouiya Hayles maarufu kama "Ashanti" mwanamuziki mkongwe wa RnB kutoka nchini Marekani. Moja kati ya wanamuziki walioacha alama ya dhahabu katika muziki wa...
1 Reactions
9 Replies
749 Views
https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01 Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand. Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts...
2 Reactions
8 Replies
852 Views
Hii ni habari njema kwa Music Industry yetu kwani baada ya mwaka jana (21 October 2023) tuzo hizi kufanyika BK Arena huko Kigali, Rwanda, sasa ni zamu yetu. Tuzo za Muziki zinazoandaliwa na Trace...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari za Sasa hivi wakuu? Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu. ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu...
6 Reactions
68 Replies
32K Views
Wakuu kwema? Hope muwazima wa Afya. Wakuu nimetafuta hizi nyimbo bila mafanikio mwenye nazo plz naomba apandishe hapa plz,plz. 1. Nisamehe ya Jay Moe&Ngwea& Bamboo. 2. Ngwea Mida mibovu ft...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom