Unaweza kutazama hii Season inayo muhusu Deng Xiaoping.
Inaelezea alipokea China katika mazingira gani ? ( Yalikuwa mazingira mabaya sana katika historia ya China )
Inaelezea walikabiliana na...
Nyimbo ni kali sana lakinii Video ya kijima na kishamba sana. Ukiitazama utafikiri ni Video ya Msondo ngoma ile iliyomuonyesha Kingwendu pale kariakoo amesimama barabarani.
Hebu angalia Video...
Makala haya yanaorodhesha wasanii wa Kiafrika kulingana na wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify (Monthly Spotify Listeners. Kama vile ungedhani, Afrobeats inatawala.
Pata full list hapa.
In...
MSANII BLACK SKULL
Mgambo ni jeshi halali japo si chombo cha dola. Haliundwi na rais kama yalivyo majeshi mengine isipokuwa linaundwa na sheria ndogo ndogo ambazo zinazipa mamlaka halmashauri za...
Tom Cruise Nyota wa Filamu pendwa za Mission Impossible, Top Gun, Mummy, Jack Reacher, Edge of Tomorrow
Ryan Reynolds Nyota wa Filamu kali za Deadpool, The Adams, 6 Undergrounds, Free guy...
SOGGY DOGGY & SHAA - MAFUNDI.
" Usilolijua ni sawa na Usiku wa Ngiza/ kama Basi unabisha yapaswa kusikiliza/ Maneno haya kutoka kwa tyr ngaiza yanahusu hao mafundi wenye Michezo ya kuingiza/ ...
HAKUNA NOMA - PROFESSOR JAY.
"SIMPLE X"
" ni Extra extra ! Extra Vakaza hakuna noma !/ kazi ndio kwanza inaaza tega sikio upate soma la shahada ya kwanza/ Daima sintanyamaza kuongea...
Mwanamuziki Tyla ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kushinda tuzo tatu usiku mmoja katika tuzo za MTV European Music Awards (EMAs) za mwaka 2024 zilizofanyia usiku wa kuamkia...
Kuna wanangu nimewalusha umu one love
Sisi n ndugu ama vip wadau wangu,ambao sijawataja mtanisamee Bure mana sija yakalili majina yenu vyema ila tupo pamoja🙏🏽
Msanii wa Afrika Kusini, Tyla, ameibuka mshindi wa tuzo ya ‘Best African Act’ katika hafla ya MTV Europe Music Awards (EMA) 2024. Katika kipengele hiki, Tyla alishindana na wasanii wengine maarufu...
Wakuu habari za muda huu, Poleni na majukumu. Msaada tafadhali.
Nahitaji Lyrics ya ngoma ya Godzilla ft G.Nako_KILA WAKATI.
Nimetafuta sana,saana,sana. Mwenye nayo plz,Huko youtube nimetafuta...
"Warning, this is the chief of police speaking
Do not steal police hate competition
I repeat do not steal police hate competition.
Where we gonna run, where we gonna hide?
You've got the right to...
Simulizi: NINI MAANA YA MAPENZI
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Alikuwa binti mpole ila muongeaji sana, aliyelelewa katika mazingira ya dini, nyumba...
RIWAYA: KASRI YA MWINYI FUAD
MWANDISHI: ADAM SHAFI ADAM
IMELETWA KWENU NA: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
KIJAKAZI alizaliwa kutokana na ukoo wa kitumwa. Baba yake na mama yake walikuwa ni miongoni mwa...
Wakuu
Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange...
Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.