ebana eeh ngoja kidogo ntoke nje ya topic.
Kuna Miaka Magic FM walikuwa wanajiunga na Big Snoop Dogg Redio.
Wallah sijapata kusikia teena na nina uhakika miaka 100 miaka buku hakuna redio hapa Bongo itakayopiga Hiphop kama ile.
Watangazaji wake walikuwa ni magang wenzie Snoop, siku nyingine mtangazaji anaweza kuwa mamen X to the Zz Xzibit au siku nyingine alikuwa hayati Nate Dogg, au siku nyingine anaweza kuwa Warren G, au siku nyingine Mel Man, au siku nyingine Kurupt na Daz Dilinger...
dah kuna siku waren G alizipangilia ngoma kali kama regulate, gheto boy ya Dr Dre, rising to the top, my life ya cool G Rap, Phone tap, get you walk on, not like it was, the messege ya Nas, breker breker ya GZA....yaani almanusra chozi linimwagike...