Mimi ni mpenzi mzuri sana wa kuangalia movies za nje, na mara zote sijapata kuangalia Animation film yoyote nikiamini ni za kitoto
Jana nilidownload movie imeandikwa jina lingine na baada ya...
NISHA WA BONGO MOVIE AWATOSA WATOTO YATIMA....
MSANII wa maigizo, Salma Jabu Nisha, amedaiwa kuwatosa watoto yatima waliokuwa wakimsubiri baada ya kuweka ahadi kuwa angekwenda kuwatembelea na...
Je? wasanii wa muziki wanajiibia wenyewe?
kwa muda sasa kumekuwa na manung"uniko kuhusu wasanii wa muziki katika mauzo ya call ring tone back. Mi nashindwa kuelewa je hawa wasann huwa wana sainiwa...
Lady Jay Dee: MAZUNGUMZO YA MAKUBALIANO YA LINAH NA BARNABA KAMA IFUATAVYO
Linah na Barnaba ni watoto wazuri sana
Hawana makuu ila katika hili kuna jambo limepita katikati
Ambalo liko nje ya...
Naombeni kufahamu ukweli kuhusu Jean Claud Van Vernberg a.k.a Van Damme katika filamu ya CYBORG iliyotoka mwaka 1989
Zamani katika miaka ya 1990 niliangalia filamu hii ya CYBORG lakini kuna mtu...
Habari wakuu.
Kuelekea maadhimisho ya "Bob marley day" hapo tar 18 may yaani kesho,basi ningewaomba tushirikiane kuorodhesha baadhi ya nyimbo ambazo wewe na mimi tunazikumbuka ambazo nguli huyu...
Jamani mimi kusema kweli nimemiss saaaana zile nyimbo za zamani za CCM zile za nambari one na chajenga nchi. Naomba kama kuna mtu alienazo anipandishie nizisikilize kidogo au hata kwenye link...
Sakata la Ruge & jaydee ni ugomvi wa kifamilia,lakini wananchi tunajua mapungufu yao na kwa vilio vyetu tunafahamu nani ni tatizo kwetu!
Sasa weka pembeni ugomvi wa kifamilia wa Ruge na Jaydee...
ni sehemu/ kumbi mtu aweza pata burudnani tajwa hapo juu... sehemu ziwe na staha kwa watu wazima, zisiwe na vurugu za vijana wa zama hizi za Whats up na Facebook...
Mfano..
-La Prima... King...
Lauryn Hill jailed for tax evasion
SOURCE: BBC
Lauryn Hill has been out of the public eye while raising her six children
Singer Lauryn Hill has been sentenced in the US state of New Jersey...
Napenda kusema hivi kutokana na kukerwa kwa kitendo cha wanawake wawili known East Africa.DIVA LOVENESS LOVE (TZ)& BOSS LADY(KENYA) kutukanana na kutupiana maneno ya kashfa kisa kumgombania...
BlackMaskEventsOrg Presents To You The First Inter College Mask Party To Be Held At Club Olympia On 18th May From 9pm Till Dawn!!!Alot Of Special Events Will Be There Like Red Carpet...
BlackMaskEventsOrg Presents To You The First Inter College Mask Party To Be Held At Club Olympia (Sinza Mori) On 18th May From 9pm Till Dawn!!!Alot Of Special Events Will Be There Like Red Carpet...
katika kipindi cha Diary ya Lady JD; Linah na Barnaba walionyeshwa mbele ya Camera wakithibitisha watashiriki katika show hiyo. Hiyo ilikuwa baada ya kulipwa advance.
Habari zaidi: Leotainment...