HII INATISHA SANA wala HUWEIZI KUAMINI

HII INATISHA SANA wala HUWEIZI KUAMINI

Tunatak hak ya wasanii itendek na sio kuendekeza kuabudian na kijifany miungu mtu...
 
Mwisho wa ubaya aibu. Mim nilikuwa naipenda clauds fm, ila currently naisikiliza kwa kupapasa. Cpend miungu watu wamekosa mvuto ktk jamii.
 
Tunatak hak ya wasanii itendek na sio kuendekeza kuabudian na kijifany miungu mtu...


Kuizika clouds kwanza wasanii wenyewe wanatakiwa wawe na umoja.
La sivyo tutakuwa tunajidanganya
 
kloudz haiwez kuzkwa ila ni kui kaunta attack!..kloudz km mtv ama bet they ar here for destruction of morality,self reliance,education nk...wapo kwa ajili ya unyonyaji,kueneza ushoga,ujinga nk..kwa iyo wasanii walio sanuka inabidi kuwa strategic kupambana!moja wapo ni kuwa independent na kuanzisha their own enterprise km kina talib kweli,buckshot,krs one nk
 
Back
Top Bottom