Dar:muziki wa Rhumba.. Bakulutu...Laivu Bendi (penye ustaarabu)

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
ni sehemu/ kumbi mtu aweza pata burudnani tajwa hapo juu... sehemu ziwe na staha kwa watu wazima, zisiwe na vurugu za vijana wa zama hizi za Whats up na Facebook...
Mfano..

-La Prima... King Kikii anafanya mambo pale kila ijumaa ila kuna vurugu za za masharo wa kiume na wa kike kujishebedua...

-Salender.... Njenje huwa wanafanya mambo pale.. ila kuna u.pumba.f mwingi hasa to kwa vijana wa mitaa ya Upanga..

Mapendekezo tafadhali.
 
Back
Top Bottom