Mjue RUGE na wasanii wa TANZANIA

Mjue RUGE na wasanii wa TANZANIA

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,328
Sakata la Ruge & jaydee ni ugomvi wa kifamilia,lakini wananchi tunajua mapungufu yao na kwa vilio vyetu tunafahamu nani ni tatizo kwetu!

Sasa weka pembeni ugomvi wa kifamilia wa Ruge na Jaydee na sasa jaribu kujiuliza mengineyo anayohusika nayo Ruge'

Hivi unafahamu kwamba Gk wa East coast team Ruge ndie aliyempoteza? je unafahamu kwamba Ruge ndie aliyeiua Daz nundaz? je unafahamu kwamba Ruge anahusika kama bosi kwenye makundi ya Tmk wanaume ya Fella na Tiptop connection na ndio maana msanii yoyote mkali akivunja mkataba na Tiptop connection ni lazma Ruge akupoteze na kukuua kimziki na mfano wa wazi fatilia wakali waliovunjaga mkataba na Tiptop connection utapata jibu,ambao ni Mb dogg,Spark,Zanto,Chelea man,Kassim,Dogo janja,PNC,Keysha! hebu angalia hii list then utapata jibu'

Ruge ana mambo mengi sana ya chini kwa chini ambapo kwa mtu ambaye ameanza kusikiliza muziki huu kwa kipindi hiki cha kina Bobjunior na kina Diamond hawezi kujua ubaya wa Ruge kwani media zinawapumbaza!

je unafahamu kwamba ile show aliyoifanya Diamond pale Mliman city ilikuwa ni ya Ruge? je unatambua kwamba Diamond hausiki na kile kiingiliio wala mapato yale yaliyopatikana pale? Ruge ana dhambi nyingi sana kwa nyie ambao ni wageni hapa mjini hamuwezi kuelewa somo!
 
aiseeeeeeeeeeee_waiting for another epsode.
 
aiseeeeeeeeeeee_ruge huyu huyu..??????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ruge huyu huyu anayetia huruma redioni??? alafu hawa jamaa bwana eti kampeni ya made in tanzania yaenda dodoma ijumaa y dodoma na isiwe sumbawanga or kigoma?? anaenda kujikomba kwa wakubwa kisa anajua serikali iko kule
 
Tz kila hakuna pakushika.mwl alisema inanuka lkn ss imeoza,mpaka huku?
 
Leta fact gk alimpotezaje? Daz nunda aliipotezaje sio kelele tu kijana gk alikuwa amefulia tayari nyimbo kama piga manati haikuwa na hadhi tena kibongo na pia gk kuna muda alikuwa anategeme collabo kutoka kwa ay na fa sasa baada ya kujitoa akaweweseka
Daz nundaz walikuwa chini ya p funk mkuu yeye ndio kauwa kundi baadaya kuanza kila msanii kutoa album ya solo alianza na ferooz kisha daz baba
 
Wew? Eeh yaan naipendaje jamii forum?..yaan hay maumbeya ya diamonds are forever tungeyapat wap? mwee huy jamaa kiboko...
 
Mwisho wa ubaya ni aibu kama ni kweli ruge siku yako ya kuaibika yaja na siyo muda mrefu maana waTz na wanamuziki kwa ujumla wanaelimika kwa kasi sana ndo maana wanagundua ukandamizaji unaofanya
 
ruge huyu huyu anayetia huruma redioni??? alafu hawa jamaa bwana eti kampeni ya made in tanzania yaenda dodoma ijumaa y dodoma na isiwe sumbawanga or kigoma?? anaenda kujikomba kwa wakubwa kisa anajua serikali iko kule

dawa yake ni kumzomea huyu mlanguzi wa wasanii
 
I second Ruge,hao anaowashusha mbona na wao wanakubali kushuka?kwani Huyo Diamond alifungwa kamba akaimbe huko mlimani city,kama hawajui haki zao it is up to them?
 
ruge huyu huyu anayetia huruma redioni??? alafu hawa jamaa bwana eti kampeni ya made in tanzania yaenda dodoma ijumaa y dodoma na isiwe sumbawanga or kigoma?? anaenda kujikomba kwa wakubwa kisa anajua serikali iko kule
Made in Tanzania kwa stori za mdomoni na si kufundishana namna ya kutengeneza bidhaa au kukusanya mapato ya kuendeleza nchi. Ingefaa waiite kampeni F*** in Tanzania.

Mi namsubiri Ruge kwenye "MAZISHI" ya JD ndio nitakapomuonesha kazi kwa mujibu wa ''USIA wa Marehemu''
 
umenichekesha sana,inaonekana upo sensitive sana na wosia wa marehem
 
Sakata la Ruge & jaydee ni ugomvi wa kifamilia,lakini wananchi tunajua mapungufu yao na kwa vilio vyetu tunafahamu nani ni tatizo kwetu!

Sasa weka pembeni ugomvi wa kifamilia wa Ruge na Jaydee na sasa jaribu kujiuliza mengineyo anayohusika nayo Ruge'

Hivi unafahamu kwamba Gk wa East coast team Ruge ndie aliyempoteza? je unafahamu kwamba Ruge ndie aliyeiua Daz nundaz? je unafahamu kwamba Ruge anahusika kama bosi kwenye makundi ya Tmk wanaume ya Fella na Tiptop connection na ndio maana msanii yoyote mkali akivunja mkataba na Tiptop connection ni lazma Ruge akupoteze na kukuua kimziki na mfano wa wazi fatilia wakali waliovunjaga mkataba na Tiptop connection utapata jibu,ambao ni Mb dogg,Spark,Zanto,Chelea man,Kassim,Dogo janja,PNC,Keysha! hebu angalia hii list then utapata jibu'

Ruge ana mambo mengi sana ya chini kwa chini ambapo kwa mtu ambaye ameanza kusikiliza muziki huu kwa kipindi hiki cha kina Bobjunior na kina Diamond hawezi kujua ubaya wa Ruge kwani media zinawapumbaza!

je unafahamu kwamba ile show aliyoifanya Diamond pale Mliman city ilikuwa ni ya Ruge? je unatambua kwamba Diamond hausiki na kile kiingiliio wala mapato yale yaliyopatikana pale? Ruge ana dhambi nyingi sana kwa nyie ambao ni wageni hapa mjini hamuwezi kuelewa somo!

Chinekeeee!...Ogaa!!. this is breaking news to me!....
 
Back
Top Bottom