Je? Wasanii wa mziki mnajiibia wenyewe?

Je? Wasanii wa mziki mnajiibia wenyewe?

Ba Nido

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
47
Reaction score
15
Je? wasanii wa muziki wanajiibia wenyewe?
kwa muda sasa kumekuwa na manung"uniko kuhusu wasanii wa muziki katika mauzo ya call ring tone back. Mi nashindwa kuelewa je hawa wasann huwa wana sainiwa mikataba bila kuielewa au hawa hata uwezo wa kupiga hesab ndogo kujua kama wanapata faida au wanajifanya kutojua nn maana ya mikataba. Maana malalamiko yamekuwa mengi. kwamb wanaibiwa lakin je mbona bado wengine wanaendelea kusain huo wanao uita wizi,?
 
Back
Top Bottom