Kwa mnaomjua Jean Claud Van Damme!!

Kwa mnaomjua Jean Claud Van Damme!!

Loy MX

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
1,253
Reaction score
313
Naombeni kufahamu ukweli kuhusu Jean Claud Van Vernberg a.k.a Van Damme katika filamu ya CYBORG iliyotoka mwaka 1989
Zamani katika miaka ya 1990 niliangalia filamu hii ya CYBORG lakini kuna mtu aliniambia wakati wa matayarisho ya filamu hii kuna kipande ambacho Van Damme aliua mtu kwa bahati mbaya..
Sasa leo wakati naangalia list
ya movie za Jean Claud Van Damme nikakutana na hii CYBORG, lile swali likajirudia tena. Imebidi niulize ili kuujua ukweli

-Je ni kweli Van Damme alifanya mauaji wakati wa matayarisho ya filamu hii?
-Je alipewa hukumu yeyote?

Kwa yeyote mwenye kuelewa jambo hili msaada kidogo..
 
Hapo kwenye red ni volent non fit ijuria au damnum abscue injuria
 
Híi niaje imewadhohofisha sana bongo,kila kitu ku-google

umenikumbusha mbaalui mno!
haina tofauti na mtoto wa std III
kuindia na calculator kwenye kipindi cha hesabu!
Af unapata zote hadi kimchuzi yaani (vizuri) sikia ugundulike stick zake utajuta!
 
Naombeni kufahamu ukweli kuhusu Jean Claud Van Vernberg a.k.a Van Damme katika filamu ya CYBORG iliyotoka mwaka 1989
Zamani katika miaka ya 1990 niliangalia filamu hii ya CYBORG lakini kuna mtu aliniambia wakati wa matayarisho ya filamu hii kuna kipande ambacho Van Damme aliua mtu kwa bahati mbaya..
Sasa leo wakati naangalia list
ya movie za Jean Claud Van Damme nikakutana na hii CYBORG, lile swali likajirudia tena. Imebidi niulize ili kuujua ukweli

-Je ni kweli Van Damme alifanya mauaji wakati wa matayarisho ya filamu hii?
-Je alipewa hukumu yeyote?

Kwa yeyote mwenye kuelewa jambo hili msaada kidogo..

Unless kuna mwingine sidhani kama jamaa alikufa.

Jamaa alipoteza jicho lake baada ya Van Damme kumchoma na kisu kwenye jicho.

Hapo kwenye red ni volent non fit ijuria au damnum abscue injuria

Kirahisi hivyo? Jamaa alimshtaki Van Damme na kupata fidia ya dola karibia laki tano.
 
Unless kuna mwingine sidhani kama jamaa alikufa.

Jamaa alipoteza jicho lake baada ya Van Damme kumchoma na kisu kwenye jicho.

Kirahisi hivyo? Jamaa alimshtaki Van Damme na kupata fidia ya dola karibia laki tano.

Kwa hiyo mkuu huyu jamaa aliyechomwa kisu hakupoteza maisha?? Na kwa kwa wakati huo Van damme ali afford kiasi hicho chote che hela??
 
Kwa hiyo mkuu huyu jamaa aliyechomwa kisu hakupoteza maisha??

Sidhani. Alikuwa mwanajeshi na walimtaka kwenye ile movie kutokana na kuwa muscles kubwa.

Aliondolewa jeshini baada ya kufanyiwa operesheni na kuondolewa jicho moja.

Kwa hiyo nadhani ilikuwa haki yake kupata fidia kubwa kwa kupoteza kazi yake.

Na kwa kwa wakati huo Van damme ali afford kiasi hicho chote che hela??

Ndo walikuwa mastar wa movies enzi hizo.

Damme anadai ilikuwa ni accident.

Last edited by a moderator:
Hapa tunahitaji kupata mawazo yakinifu sasa google ya nini?? Huyo jamaa sio kabisa..

unataka ayo mawazo tuyatoe wapi? ku google ndio ilikuwa njia nzuri ya kuanzia...kama umeanzisha thread kama mdahalo....njoja tuone
 
Híi niaje imewadhohofisha sana bongo,kila kitu ku-google

sio kila kitu...sasa unategemea habari kama hii mtu atasoma kwenye kitabu...?angesearch google angepata walau detail....
 
Sidhani. Alikuwa mwanajeshi na walimtaka kwenye ile movie kutokana na kuwa muscles kubwa.

Aliondolewa jeshini baada ya kufanyiwa operesheni na kuondolewa jicho moja.

Kwa hiyo nadhani ilikuwa haki yake kupata fidia kubwa kwa kupoteza kazi yake.

Ndo walikuwa mastar wa movies enzi hizo.

Damme anadai ilikuwa ni accident.

hapa nimeelewa mkuu... ilikuwa Accidents na kwa upande mwingine ili mcost sana jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mwingine Brandon Lee nadhani na yeye alifariki kwa kupigwa risasi ya ukweli kipindi anafanya movie
 
Umenikumbusha vibanda vya sinema (video) na shilingi hamsini hamsini zetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom