Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau naomba msaada kwa anayejua zinapouzwa editing card, yaani nataka kwa ajili ya kubadilishia mikanda ya VHS kwenda ktk CD, Pia kutoka ktk video Camera ya analojia kuingiza katika computer...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Habari za Week End Wakuu Wa JF! Wakuu, nawezaje kupata baadhi ya nyimbo za huyu gwiji la Muziki - Phil Collins bure Online? I wish ningepata nyimbo hizi: Do you remember, Can't turn back the...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
P.funk aka majani ameweka tweet katika wall yake na kukataza au kupiga ban nyimbo zote za mangwair(R.I.P) kupigwa clouds FM Sababu ya juu juu ambayo naweza kuiwakilisha ni kutokana na bifu...m...
3 Reactions
124 Replies
14K Views
Vist Here http://arnoldthomas.waphall.com To Download Mp3
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Nafasi nachukua,shairi kukuandikia, Albert Mangwea, uliyetangulia, Asili ya Songea,mzaliwa wa Mbeya, Mangwea tangulia! Nilianza kukusikiliza,ili kukuelewa, Mengi ukanifunza,hadi kunogewa, Kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa nikisikiliza redio hizi mbili kwa muda sasa lakini kiukweli naona kama REDIO ONE Siku za hiv karibuni kama inaelekea shimoni imekuwa ya kizamani kama RADIO TANZANIA vipindi vya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
mangwea kuzikwa morogoro alipozikwa baba yake mzazi, tayari ndugu na jamaa washaanza kukusanyika nitawaleteni update zaidi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naam habar ya mjini lady Jaydee ameahirisha show yake ya kutimiza miaka 13 ,ndani ya nyumbani lounge ijumaa wiki hii kutokana na kuguswa na kumuenzi rafiki yake kipenzi Albert Mangwair(R.I.. P)...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
[update, audio] Tanzia: Mwanamuziki Albert Mangwea aka Mangwair28/05/2013 0 Comments Man NgwairMSANII maarufu wa nyimbo za 'hip hop' na Bongo Fleva, Albert Mangwea maarufu kama Mangwair aka...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
R.I.P Ngwea,cloudr wanajidai kuahirisha showz zao kinafki eti wanashow love! Komando Nothing But the Truth ndo hii,matatu ya muhimu,a moment of silince for our beloved brother, candle lighting, na...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio Clouds FM, Mwanamuziki wa kizazi kipya Albert Mangwea amefariki leo huko Afrika ya Kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
KATIKA wasanii mastaa ambao wangepaswa kuishi maisha mazuri nchini kwa sasa, ni wale wa filamu ndio wangepaswa kuwa wanashikilia chati za juu kutokana na jinsi kazi zao zinavyotengeneza fedha...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Dj Luke Joe mtanzania mwenye makazi USA akifanya mahojiano na gwiji la muziki wa soukouss Lokasa ya Mbongo: http://vimeo.com/56817186 Source: www.vimeo.com by Luke Joe
4 Reactions
12 Replies
9K Views
JACK WOLPER ALIA NA MATAPELI YANAYOTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA JINA LAKE KUOMBA HELA WATU Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa matapeli wa mjini kutumia majina ya waigizaji maarufu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HUYU NDO MREMBO ATAKAYEWAKILISHA SHINDANO LA BIG BROTHER MWAKA HUU Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye mitandao mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hiyo ni kauli aliyoitoa muheshimiwa sugu bungeni leo jioni hii,akizungumza kwa jaziba amewaasa vijana wa bongo flavor kuwa na ushikiano na kuacha unafiki ambao baadhi ya watu ,wakiwemo clouds FM...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi wenzangu NINAWAKARIBISHA KWENYE TAMASHA LA UIMBAJI WA UPAKO NA MGUSO WA MUNGU KUKUTEMBELEA USIKOSE JPILI HII YA TAREHE 26/05/2013 PALE HOUSE OF PRAYERS KINONDONI MKWAJUNI...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani weekend ndo hiyo,leo mi naenda WHITE HOUSE KIMARA ndo nitajipooza huko wewe je wapi?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
hope watu wangu mna tiketi tayari... cc Madame B vivian@amu Mentor@Kakakiiiza,
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…