structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 909
Wadau leo kuanzia sa 3 usiku itv walirusha kipindi maalum kuhusu sherehe kwa wafanyakazi wa kampuni ya ipp iliyofanyika siku kadhaa zilizopita. Katika hafla hiyo kulikuwa na tuzo za mwenyeki kwa wafanyakazi bora wa ipp. Kulikuwa na tuzo kama 7 hivi kutoka kampuni mbalimbali za ipp mf the guardian ltd,itv & radio one,eatv,bonite.....nk. Kilichotekea ni kwamba tuzo zote zilikwenda kwa wanaweke,je hii inamaanisha wanawake wanajituma zaidi kuliko wanaume kazini? Au kulikuwa na uchakachuaji ili kutoa picha fulani kwa jamii?....