King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,074
- 98,312
Sio maneno yangu hayo ni ya watangazaji wa radio uhuru wakati wanauchambua huo wimbo wa dokii wamesema kuna mistari kwenye uho wimbo amechemka na pia ameshauri wasanii kabla hawajaingiza vocal ni bora hayo mashairi yakahakikiwa hususani kama umetumia lugha ya malkia
:Maneno yenyewe:
"Obama welcome tanzania" na "peace and love,unity" Ni hayo.
:Maneno yenyewe:
"Obama welcome tanzania" na "peace and love,unity" Ni hayo.