Nyimbo ambazo azijawahi kuchosha kusikiliza

gekaboy

Member
Nov 27, 2021
49
103
Japo ya kuwa ni nyimbo za zamani ila always ukiweka bado unapata burudan hile hike.
1.nisamehe ya belly black ft Suma lee
2.ulofa ya top c
3.sina raha ya Sam wa ukwel R. I. P
4.lala salama ya diamond
5.amigo ya Les wanyika

Zipo nyingi ila siwez dondosha zote ebu share zako kweny comments
 
Katitu boys- ngoma bila nguo.
 
Gheto langu -Ngwea
Kimya kimya-Jay moe
Latifa-Mb Dog
Mapenzi yana run dunia-Alikiba
Wasiwasi-Banana Zorro
Siwema-Jaydee
Tatizo Umaskini-Vumi
Zuwena-Mr Paul
Neema -Bushoke
Neema-Washikaji
Ratiba- Snaa lee
Mtoto wa kiume-Geeze Mabovu
Niamini-Prof Jay
Fikiria-Mez B
Jacky-Dully Sykes

Yaan list ni ndefu sana
 
Japo ya kuwa ni nyimbo za zamani ila always ukiweka bado unapata burudan hile hike.
1.nisamehe ya belly black ft Suma lee
2.ulofa ya top c
3.sina raha ya Sam wa ukwel R. I. P
4.lala salama ya diamond
5.amigo ya Les wanyika

Zipo nyingi ila siwez dondosha zote ebu share zako kweny comments
Hiyo Ulofa back vocal za Kiba zilipendezesha sana wimbo...
 
Back
Top Bottom