bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
wana jf, kama mjuavyo kuhusu azam tv walisema mwezi wa kumi, wataanza rasmi kuuza visimbuzi vyao; leo ni tarehe 3 kipo kimya mpaka sasa, ni changa la macho ama?? manake maneno mengi halafu vitendo hakuna.
wakati watz wakiisubiria azam tv; startimes wanazidi kusambaa kwa sasa wanategemea kiwaanzishe musoma iringa, bukoba, tabora, shinyanga, lindi na singida. Kwa wazawa Digtek, ting,, continental bado wanachangamoto kubwa sana.