Awilo wa mbeya

Awilo wa mbeya

Nenda kwenye maduka au vibanda vya CD pale mwanjelwa utapata albam yake....USHAURI: Inua wasanii kwa kununua kazi original
 
Ebana umenikumbusha mbali shemu aisee huyo msafwa alitoka kabla ya kina Saida ka daladala sema ndo "ivo" zali zalina duh!
 
Nakumbuka ule wimbo wake kuhusu ajali pale Ntokela

Pia wa yule dada anayetaka auze pombe kwenye hivi ''vilabu vya pombe ya kufinyanga'',Awilo ni chiboko nimeipenda sana album hii ilinibidi niinunue na si kunyonya ili nimwinue gwa kumyitu,ni kama Makilikili vile na sauti ya jamaa ni kama sauti ya Simba aliae nyikani.Mimi ninayo lakini naona nitakuwa simtendei haki Awilo nikiitoa bure ,tujaribu kuchangia wasanii wetu kama vile tunavyochangia TBL,SBL,TCC,Kwanza,Bonite,SBC n.k
 
umenikumbusha aisee hapa niaandika hii post huku nauskiliza ule wa ndio maana twinzile......... dah raha sana!
 
Awilo's NDIO MANA TWINZILE ndo wimbo wa Taifa sherehe za harusi zote pale Mkapa Hall Mbeya. Wimbo unaunganisha waTz wote pale hall. Bravo Awillo -

Tafadhali nunua sio kupata nakala za kidhulumati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom