Naifahamu hiyo show wamo Kevin Hart, Nelly, Nick Cannon, Boris Kodjoe, J.B. Smoove, Duane Martin na Robin Thicke. Ni nzuri kiasi, mastaa kibao wanafanya cameo appearance. Naona Season 1 imeisha sasa hivi wanaonyesha re-runs BET na SONY MAX (kwenye DSTV). Tunasubiri season 2.