Mwandishi mashuhuri wa vitabu nchini Marekani, Robert Green anasema " Wale wanao mchukulia msanii 50 Cents kama Gangster pekee, wanatakiwa kuanza kubadilisha mitazamo yao haraka...
"JACK WOLPER ANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU....KAMA SANAA IMEMSHINDA BASI AKAJIUZE AU AKAUZE VIPODOZI"...BABY MADAHA
MWIGIZAJI wa kike na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Baby...
UWOYA AAMBULIA MATUSI BAADA YA KUMFANANISHA DIAMOND NA MICHAEL JACKSON
Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, amelowa mvua ya matusi baada ya kumfananisha mwanamuziki Nasibu...
Mwigizaji Mmarekani mweye asili ya Afrika Jim Kelly alifariki dunia Juni 29, 2013 akiwa na umri wa miaka 67. Jim Kelly alitamba miaka ya 1970 na 1980 baada ya kuibuka katika sinema ya 'Enter The...
Beyonce na baba yake Mr Mathew Knowles
Mathew Knowles is a married man!Beyonce's father married former model Gena Charmaine Avery on Sunday, June 30 in Houston, Tex., he confirms to Us Weekly...
Sio maneno yangu hayo ni ya watangazaji wa radio uhuru wakati wanauchambua huo wimbo wa dokii wamesema kuna mistari kwenye uho wimbo amechemka na pia ameshauri wasanii kabla hawajaingiza vocal ni...
Wadau ,
Katika pitapita zangu za brochure za Movies, nikakumbana na hii Movie. Imechezwa na Jamie Foxxy na mwenzie jina limenitoka mpaka ni-google.
Sasa nimejaribu kui -download but...
Hii movie toka nchini malawi imezoa tuzo tano za kimataifa mwakani huu.
Nimejaribu kuitafuta katika torrent na youtube nimeambulia trailer tu.
Nikienda dukani inaonekana msamiati kwa wauzaji.
Kama...
Mamilioni ya mashabiki wa muziki nchini Tanzania, bado wanayo maswali mengi yasiyokuwa na majibu kuhusu suala la msanii Diamond Platnums, kuzimikiwa na warembo ambao kibongo...
Wadau leo kuanzia sa 3 usiku itv walirusha kipindi maalum kuhusu sherehe kwa wafanyakazi wa kampuni ya ipp iliyofanyika siku kadhaa zilizopita. Katika hafla hiyo kulikuwa na tuzo za mwenyeki kwa...
Ile filamu iliyokua ikisubiliwa kwa hamu na mashabiki wa filamu(scola ya Aunt Ezekiel)sasa imepigwa stop na kuambiwa aondoe vipande vyote visivyo na maadili ili apewe kibali cha kuisambaza...
MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu' alinaswa akihaha kutafuta mwanya wa kuonana na Rais wa Marekani, Barack Obama muda mchache baada ya kuwasili nchini.
Aunty Lulu...
"NIMETEMBEA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA KUGUNDUA KUWA MTU ALIYENIROGA NI MSANII MWENZANGU"...STEVE NYERERE
Makubwa yameibuka baada ya msanii Steven Mengere ‘Steve Nyerere', kufungua...
MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Swahiliwood Jaqueline Wolper Wolper Gambe amedai kuwa hawapendi sana wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za watu, kwa hiyo kwa kuwa nao si rahisi...
Nando kikaangoni tena, anasubiri huruma za wapiga kura kubaki BBA 2013 Tha Chase
Mwakilishi wa Tanzania katika shindano la Big Brother The Chase Nando, wiki hii ameingia kitanzini tena...